cc12 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 1,018 Reaction score 397 Oct 28, 2016 #2 ya facebook nipe mim mkuu nina shida nazo kwel kila kitu ntabadil natumia kusambaza habar magrup ya nje sio bongo PM pliz
ya facebook nipe mim mkuu nina shida nazo kwel kila kitu ntabadil natumia kusambaza habar magrup ya nje sio bongo PM pliz
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,530 Reaction score 18,725 Oct 28, 2016 Thread starter #3 cc12 said: ya facebook nipe mim mkuu nina shida nazo kwel kila kitu ntabadil natumia kusambaza habar magrup ya nje sio bongo PM pliz Click to expand... Tengeneza yako usambazie
cc12 said: ya facebook nipe mim mkuu nina shida nazo kwel kila kitu ntabadil natumia kusambaza habar magrup ya nje sio bongo PM pliz Click to expand... Tengeneza yako usambazie
cc12 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 1,018 Reaction score 397 Oct 28, 2016 #4 mjr95 said: Tengeneza yako usambazie Click to expand... duuuuh sawa aisee ila uwe na majibu mazur kwani ukisema hapana unapunguza nyama ya kichwa au
mjr95 said: Tengeneza yako usambazie Click to expand... duuuuh sawa aisee ila uwe na majibu mazur kwani ukisema hapana unapunguza nyama ya kichwa au
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,530 Reaction score 18,725 Oct 29, 2016 Thread starter #5 cc12 said: duuuuh sawa aisee ila uwe na majibu mazur kwani ukisema hapana unapunguza nyama ya kichwa au Click to expand... Kwan nimekujibu vibaya wala labda kufikili kwako pamoja na akili zako zimekutuma hivyo
cc12 said: duuuuh sawa aisee ila uwe na majibu mazur kwani ukisema hapana unapunguza nyama ya kichwa au Click to expand... Kwan nimekujibu vibaya wala labda kufikili kwako pamoja na akili zako zimekutuma hivyo
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Oct 29, 2016 #6 mjr95 said: Naomba kuelekezwa namna ya kufuta Account za Facebook, Instangram pamoja na Twittet. Click to expand... Google swali moja baada ya jingine mfano how to delete Facebook account? Nk... Ila kwa uzoefu wangu hizo account huwa hazifutiki bali zinakuwa suspended tu.
mjr95 said: Naomba kuelekezwa namna ya kufuta Account za Facebook, Instangram pamoja na Twittet. Click to expand... Google swali moja baada ya jingine mfano how to delete Facebook account? Nk... Ila kwa uzoefu wangu hizo account huwa hazifutiki bali zinakuwa suspended tu.