Msaada wana JF wenzangu

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
366
68
wanajamii habarini ya majukum? naimani kila mmoja kwa nafasi yake yuko powa kabisa na tuko tayari kuachia vitanda na kujiandaa kwenda kwenye majukum ya kujenga taifa ambalo halijengeki, ndugu zangu naombeni kujua kama inawezekana ku-install ms office in ipad na kama inawezekana mwenye details zaidi animwagie hapa ndani. Natanguliza shukrani wadau
 
Ms office in Ipad????? !!!!!!!! Hao jamaa wa mac wana version yao ya Office inatwa Iwork. Au tafuta quick office .

inunue iwork hapa kwa bei sawa na bure
http://thepiratebay.org/torrent/6084905/iWork__09_[Mac]-[CyberPiraten] Ukifika stage ya kujaza payment detal kwenye jina andika steve jobs.

enjoy.
 
Thanks chief, nilikuwa sijui ndio maana nikasema kama inawezekana, but hiyo link nimejaribu kuifungua haifunguki, msaada wako zaidi wahitajika mkuu wangu, shukrani
 
Thanks chief, nilikuwa sijui ndio maana nikasema kama inawezekana, but hiyo link nimejaribu kuifungua haifunguki, msaada wako zaidi wahitajika mkuu wangu, shukrani

Mbona haina shida hiyo link. Dowload na install bittennt kwanza kutoka hapa http://www.bittorrent.com/downloads

ukisha install hiyo bittorent basi rudi kwenye hiyo link niliyokupa mwanzo . Ukirudi kuifungua itakuuliza unatakakifungua kwa program gani chagua bittorent. Hiyo bittorent ndo utatumia kupakua dowload hiyo Iwork
.

Then itadowload na kumaliza kupaua hilo file la Iwork . Baada ya hapo utaachofanyani kuistall iwork
 
Office haiwezi kufanya kazi kwenye iPad, pia hiyo iWork haifanyi kazi kwenye iPad ni kwa ajili ya Mac computers, pia sio "BURE" ila jamaa anakwambia uibe.
Ingia kwenye App Store, tafuta Microsoft Office, utapata option nyingi tu.
 
Kwa hiyo wanaondika kwamba wanatumia Iwork kwenye ipad ni waongo? Na wapi nimemwambia aibe wewe ndio unasema anaiba mimi nimemwambie achukue
 
Kwa hiyo wanaondika kwamba wanatumia Iwork kwenye ipad ni waongo? Na wapi nimemwambia aibe wewe ndio unasema anaiba mimi nimemwambie achukue
Achukue bila ridhaa ya wenyewe, ah ah ah ah ah.
 
Kwa hiyo wanaondika kwamba wanatumia Iwork kwenye ipad ni waongo? Na wapi nimemwambia aibe wewe ndio unasema anaiba mimi nimemwambie achukue

Soma link yako mwenyewe,

Platform.......: Mac OS X

iPad haitumii Mac OS, kama kuna iWork ya iPad basi siyo hiyo uliyoweka. Hiyo link ya torrent ni ya kuiba, link ya BushBaby ndo halali $80
detal kwenye jina andika steve jobs.
yeye ni Steve Jobs? Kuchukua sio chako ndo wizi wenyewe.
 
Achukue bila ridhaa ya wenyewe, ah ah ah ah ah.

hahahha X paster mwenyewe si ndo mimi nimeshaingia gharama hakuna haja ya wana jf wengine kuingia gharama. Nimeweka huko achukue tu Kama ataulizwa malipo ajaze jina steve jobs. Lakini kama bank account yake ina fungu na bajeti ya software aende kwenye ile link aliyopewa ya CNET. $ 79 sio nyingi
 
holaa mbona munamzingua. brother hiyo llink alokupa mwanzo huyo mshakaji wa juu kabisa ni bure kwa maana kuwa wataalam wameichakachua ili weye utumie bila ya malipo. lakini ili uweze kuidowload inakubidi kwanza uisntall either vuze, utorrent au bittorrent.
 
Back
Top Bottom