Msaada wana jamvi

Msaada wana jamvi

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
1,077
Reaction score
2,164
Habari ya jioni wapendwa

Kuna kaofisi nataka kufungua sehemu ila umeme hamna nataka kutumia sola ili iweze kusukuma friza la boss lita 230 lengo nataka kufahamu ninunue bettry ngapi?

Betrry nazotaka ni za N12
Uwezo wa umeme 12V
Masaa ya kutumia 14HRS

Shida hapa ninunue sola za watt ngapi na bettry?

Nataka bettry ndogo kutokana zinakuwa zinadumu kuliko hizi kubwa

Naomba kujibiwa hapa ili kila mtu wakuelewa aelewe mambo ya inbox [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
 
Tafadhali Nakuomba Uwe Mvumiluvu Kidogo Wataalam Wetu Wapo Kwenye
Thread Ile Inayoongelea Vita Vya Urusi Na Ukraine
Nasisitiza Watakuja Maana Ni Long Range Missile Tu
 
Sawa mkuu nawategemea sana
 
Tafadhali Nakuomba Uwe Mvumiluvu Kidogo Wataalam Wetu Wapo Kwenye
Thread Ile Inayoongelea Vita Vya Urusi Na Ukraine
Nasisitiza Watakuja Maana Ni Long Range Missile Tu
Ovaaaa ovaaaaaa
 
friza la boss lita 230
na assume friza ni ya AC, ila hujasema Watts ngapi
kuna changamoto mbili kuu kwenye upande wa uchaguzi wa Inverter

1. friza au friji likiwashwa linaanza na umeme mwingi ( mara 5 ya umeme wake wa kawaida ), so Inverter inabidi iwezehimili hii

2. Inverter zilizo sokoni nyingi siyo 'pure' sine wave, so siyo rafiki kwa mshine zenye 'motor'
za pure sine wave bei zake zimechangamka, HII ni 500W pure sine wave Inverter
 
Mkuu nahitaji 1000watt pure sine wave
 
Skia ilo freezer lako lina watt ngp n yapo mangp Pia unataka uo umeme utumie vitu vp n VP n vina watt ngp

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Mkuu kuhusu matumizi ni friza pekee hamna vitu vingine kuhusu watts za friza sijui maana sio mtalamu sana ila pia unaweza kukadilia nachotaka ni formula unawezaje kujua bettry ya ukubwa gani ili itusaidie kufanya vitu vya uhakika
 
Sasa Mkuu we unataka kufanya ile kitu wazazi waga wanafanya wanapotaka kumnunulia nguo kijana wao, wanataja umri wa mtoto ili muuzaji akadilie size ya nguo inayomtosha ilhali Kuna watu wazima Wana maumbo madogo na Kuna machalii wana maumbo makubwa

Inakuaje unashindwa kujua freezer yako Ina Watts ngapi Mkuu? Umenunua used? Kama ni hivo Kwanini usimuulize aliekuuzia...! nyuma ya freezer hakuna maelezo yoyote Yale ambayo yanaweza kukupa hints ata ukayatumia kugoogle ili ujue tu una freezer la uwezo gani
 
Back
Top Bottom