Msaada wana jamvi

Msaada wana jamvi

Mkuu kuhusu matumizi ni friza pekee hamna vitu vingine kuhusu watts za friza sijui maana sio mtalamu sana ila pia unaweza kukadilia nachotaka ni formula unawezaje kujua bettry ya ukubwa gani ili itusaidie kufanya vitu vya uhakika
Kukadilia sijui kama itasaidia kupata majibu sahihi wait nikupe Formula alafu utajiongeza mwenywe
 
Back
Top Bottom