Guys huyu zubedayo_mchuzi haongelei gari la kawaida hapa! Hamuoni hata Arabela mwenyewe anashangaa kama gari ni gari kweli? Na huo MLIMA siyo mlima kweli. Hakuna wanafalsafa humu wampe jibu? Me naogopa BAN.

Arushaone anaogopa BAN. Lakini sie ambao BAN imekuwa sehemu ya afya zetu ngoja niropoke................ akh, tatizo zubedayo_mchuzi amezoea kupanda mwanapunda, lakini yeye kupandwa na mwanapunda akha! wacha nishike break.......... maanake watanimiss kule kwenye jukwaa la stress.usiogope Arushaone nothing will happen fafanua tu
Hebu jaribu kushuka mlima kwa rivasi utaona inavyokimbia speedi
zubedayo_mchuzi anahitaji msaada ndo tunajaribu kumshauri akafurahie ka vitara kake!hahahahahahahaha. Mungi unaua mbavu zangu jombaa
Arushaone anaogopa BAN. Lakini sie ambao BAN imekuwa sehemu ya afya zetu ngoja niropoke................ akh, tatizo zubedayo_mchuzi amezoea kupanda mwanapunda, lakini yeye kupandwa na mwanapunda akha! wacha nishike break.......... maanake watanimiss kule kwenye jukwaa la stress.
Arabela hebu kuwa mkweli!...................... inamaana hujapanda hiyo vitara mpya ya zubedayo_mchuzi?Mungi huwezi amini sijaelewa bado
Hebu jaribu kushuka mlima kwa rivasi utaona inavyokimbia speedi
weekend boring sana iko fupi ndo ishaisha kesho msaragambo
Eeesu, maria na osefuuu! Rivasi kwa mwendo kasi si utaua giaboksi arawa! Otee na iyoo, hapana aisee. Atafute fundi wa kuzindua hizo gia jamani. Magari ya tabu na maintainance ghali mno.
Arabela hebu kuwa mkweli!...................... inamaana hujapanda hiyo vitara mpya ya zubedayo_mchuzi?
Hebu ipande, halafu mwambie akifikia kwenye mlima wakati anashuka aigeuze ashuke kwa rivasi......... na hiyo ikigoma mpe msaada wa kulisukuma itakwenda tu!
pole wangu mwenzio natamani hata weekend ingekua siku 3...kwani upo pande zipi TA au DSM, maana wenzio huku DSM wikiendi twaiona fupi kwa kuwa raha ni nyingi kupitiliza
Hebu jaribu kushuka mlima kwa rivasi utaona inavyokimbia speedi
Mh hili gari kweli au?
Uza hicho kichomi nunua Hammer!