Msaada wakuu..!!

Kama ni wale wadada wa Joly Club na mitaa ya namna hiyo itabidi aachie dau lake na labda amlipe fidia ili amwache akatafute riziki. Kwa mwendo wa namna hiyo changu lazime apate hasara ya mwaka!!



Huko ilibidi niache kwenda kwani walishanikariri na wakaambiana ikawa wakiniona tu hata iweje hawakubali,na imeshanitokea several times naambiwa chukua hela yako uondoke mtu gani humalizi,na kumbuka tu nimesema ile ni first round,zinazofuata sasa huwa ni balaa...........
 
1000000000000000%
Wewe ndio JF Member of my Valentine Day
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:



Hata wewe pia huniamini?Mbona ni hali inayotokea sana tu....
 
Mkuu hilo la nusu saa mpaka 45 mins ni another story lakini...

Hili usimchoshe mwenza wako mnaweza mkaongeza muda wa foreplay akuchezee wewe mpaka uwe ready kabisa na yeye hii itamfanya awe ready....am sure hii itasaidia sana ku-avoid michubuko na maumivu....

Thanks and Happy Valentine Mkuu

mh! nilidhani kufanya mapenzi - ni tofauti na ndondi au mieleka - michubuko na maumivu tena??????
 
Da,siku zote nimekuwa nikitafuta mtu wa aina yako na nashukuru umepatikana.nitafurahi ukiniPm maana mie hizo dakika hazinipi shida na kamwe sitokuwa na malalamiko.
Ni hivi mzee!yawezekana ulikuwa unafanya sana punyeto ndio maana hali kama hiyo ikajijenga.na kamwe haiwezi kupotea katika mazingira ya kawaida.ukweli hali ya kwenda dakika nyingi kama hizo huwa inamkera sana mtoto wa kike kwani raha ya mapenzi ni kuridhishana na sio kukomoana.

USHAURI wangu.
Tafuta mdada ambaye utamwamini na kupima ngoma ili uanze tiba ninayokushauri nyote mkiwa wazima kuepusha mengine.Jenga ukaribu na huyu mdada wa kuhakikisha unafanya nae mapenzi kavu mara nne au zaidi kwa wiki.pia katika hili,hakikisha unaenda raundi moja tu.fanya hivi kwa muda wa wiki tatu mfululizo then anza taratibu kupunguza siku moja na uwe unafanya kwa siku tatu kwa wiki mabao mawili kila mchezo.endelea kupunguza taratibu hadi mabao matatu kwa kila mechi mara mbili kwa wiki.then endelea kawaida kwa jinsi utakavyojisikia kwani mwili wako utarudi katika hali ya kawaida.

N:B epuka kufanya mapenzi na wanawake tofauti tofauti kwani inaweza kukukata stimu katika tiba yako hii.all in al usisahau kuniPM yakhe!



Umenipa ushauri mzuri sana mama lakini hapo mwisho wakikusikia wenyewe mi simoooooo..............
 
Mara umeshaahirisha kumpeleka lab..

Lab lazima madam T, nilikuwa najaribu kumchimba babu nipate hekima na uzoevu zaidi juu ya hili tatizo. Ili hata nitakopotoa tiba nizidishe ufundi na maujuzi zaidi!!! Na wewe unataka kuja!!!
 
Lab lazima madam T, nilikuwa najaribu kumchimba babu nipate hekima na uzoevu zaidi juu ya hili tatizo. Ili hata nitakopotoa tiba nizidishe ufundi na maujuzi zaidi!!! Na wewe unataka kuja!!!

Mpleleke bwana, LD nashukuru sana kwa mwaliko, nitakuja nichukue huo ujuzi ili nikikutana na wengine wenye tatizo kama hilo niwasaidie nikupunguzie msongamano wa madenti
 
Mpleleke bwana, LD nashukuru sana kwa mwaliko, nitakuja nichukue huo ujuzi ili nikikutana na wengine wenye tatizo kama hilo niwasaidie nikupunguzie msongamano wa madenti




:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Piga punyeto mara tatu kwa siku kwa miezi mitatu mfululizo! Then utarudi na swali jingine!
 
Nashindwa kuelewa kinachowafanya msiamini na kuona hii ni stori ya kufikirika,hamuoni kuwa kuna members wengine nao wanajitokeza wenye hali kama yangu?Mkubali tu kuwa binadamu tumeumbwa tofauti,na hatuwezi kufanana na nimeamua kuwa open ili niweze kusaidiwa lakini naona hili si tatizo kama ninavyofikiria.


Kama umeliona hilo basi uende kwa amani...Shida zako zimeisha!
 
ha ha haaaaa....
paka mweusi..mimi hii hali imewahi kunikuta mara kadhaa pia,tena ni zaidi ya saa 1 na wakati mwingine kama
ni usiku nalazimika kulala nikiwa sijakojoa na mwenzangu amechoka..mpaka asubuhi labda ndiyo namaliza hiyo round moja.
uchunguzi wangu umenipa sababu kuu tatu:
1. Mara nyingi inakuwa ni mwanamke ambaye ni nimemzoea sana,kwa ivo najua hatanisumbua so akili inakuwa imetulia haina rabsha.
2. Imenikuta zaidi pia wakati ambapo nimekunywa pombe kwa ivo nakuwa nakula mzigo huku akili ikiwa mbali,labda ofisini huko natengeneza report au tunakoromeana na bosi.
3. Mara nyingi pia inashamirishwa na ugoigoi wa huyo mwanamke unayelala naye..mimi nataka nikiri kuwa ukikutana na mwanamke mtundu kiukweli,anayezungumza dirty enough,ana mshawasha wa kutosha, ana mitindo huru n.k..tatizo litakuwa kushney.

Ni haya tu, ila pole sana
ikishindikana waombe wakuchue baada ya kila game.
wasalaam.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom