Msaada wakuu Wenye iPhone mnazinunuaga wapi Tanzania?

Binafsi nilikua nahitaji kubadilisha Simu ila Nimezunguka DSM sijapata wengi wanauza zilizofunguliwa na zilizotumika . nimeenda iStore Mlimany City they are living in their world iPhone 7 Plus 32GB wanauza Sh. 2,300,000 ni zaidi ya USD 1,000 bei ya iPhone X ilipotangazwa Mwaka Jana.

Wakuu nahitaji duka ama sehumu ambayo naweza kupata hizi Simu zikiwa na Seal.
Website Ya Apple inaonesha kuna maduka 6 tu toka kampuni tatu tofauti Tanzania ndio yanatambulika kama wauzaji halali wa vifaa vya Apple.
-istore
-elite computers
-idigital

Unaweza kuangalia adress na location ya hizo store hapa
Apple - Find Locations

Huko kwengine buy at your own risk.

Watu wengi iphone huagizishia kwenye nchi zenye kodi ndogo mfano Dubai.
 
Hii simu sijawahi isikia aisee "iphone x plus", labda ulitaka kumaanisha iphone 8 plus? Ama hizi rumors za mitandaoni?

https://www.forbes.com/sites/ewansp...e-9-lcd-ipad-pro-leak-rumor-new/#61d34724a841

Two Numbers For One iPhone
The new iPhone X Plus is expected to have a number of new features - many of which will be familiar to Android users. One of those is the likely appearance of dual-SIM… and the biggest signpost to this? It’s hiding inside the code for iOS 12. Gordon Kelly covers this angle:
 
Binafsi nilikua nahitaji kubadilisha Simu ila Nimezunguka DSM sijapata wengi wanauza zilizofunguliwa na zilizotumika . nimeenda iStore Mlimany City they are living in their world iPhone 7 Plus 32GB wanauza Sh. 2,300,000 ni zaidi ya USD 1,000 bei ya iPhone X ilipotangazwa Mwaka Jana.

Wakuu nahitaji duka ama sehumu ambayo naweza kupata hizi Simu zikiwa na Seal.
Nenda pale makumbusho stand kwenye get la kutokea magari kuna duka hapo wanauza kila aina ya iPhone, ila nyingi ni refurbished
 
Refurbished hizo sizitaki na ndo zimejaa pale makumbusho zinakuja na white box.
 
Website Ya Apple inaonesha kuna maduka 6 tu toka kampuni tatu tofauti Tanzania ndio yanatambulika kama wauzaji halali wa vifaa vya Apple.
-istore
-elite computers
-idigital

Unaweza kuangalia adress na location ya hizo store hapa
Apple - Find Locations

Huko kwengine buy at your own risk.

Watu wengi iphone huagizishia kwenye nchi zenye kodi ndogo mfano Dubai.
Thanks mkuu cha ajabu iStore wanauza iPhone 7Plus 32GB kwa Sh.2,300,000 bei ambayo hii Simu haikuuzwa hata 2016 ilivyokua mpya. Dawa ni kuagiza tuu!
 
Ndo hiyo nilienda wanauza iPhone 7plus 32GB wanauza Sh. 2,300,000/= Simu ya Mwaka 2016 ina bei ya iPhone X
Pale mliman city bei juu coz unaangalia n location yenyewe, mtu anae lipa frem makumbuko n mliman city tofaut thus y bei zinatofautiana ila cm ile ile coz hata kodi tofaut [emoji23][emoji23][emoji23]pale iPhone tz uhakika ndugu n bei zao ni affordable n wanakupa warranty y mwaka
 
Zile za makumbusho nyingi ni refurbished
 
Nenda makumbusho kwa #iphone tz angalia insta kuna no yao
Hawa nilienda wanazo zimefunguliwa halafu anakwambia ni mpya ina Warranty ya Mwaka mmoja baada ya kuingiza kwenye Website warranty ilishaisha mda wanatoa warranty ya maneno na wabongo wengi wanapigwa hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom