Msaada wakuu Wenye iPhone mnazinunuaga wapi Tanzania?

Msaada wakuu Wenye iPhone mnazinunuaga wapi Tanzania?

Pale mliman city bei juu coz unaangalia n location yenyewe, mtu anae lipa frem makumbuko n mliman city tofaut thus y bei zinatofautiana ila cm ile ile coz hata kodi tofaut [emoji23][emoji23][emoji23]pale iPhone tz uhakika ndugu n bei zao ni affordable n wanakupa warranty y mwaka
Usiseme tuu kiss Mlimany City ndo simu Moja iuzwe bei ya faida ya kulipia Rent Nafahamu Apple wanatoa Bei Elekezi ndo maana iPhone X zinauzwa mpaka 2,400,000 iweje ununue iPhone 7 plus 64GB kwa 2,400,000 kisa mlimany City? Apple wana haki ya kuwa suspend. Yaani Rent ya Duka la mlimany City inalipiwa na Simu Moja?
 
Usiseme tuu kiss Mlimany City ndo simu Moja iuzwe bei ya faida ya kulipia Rent Nafahamu Apple wanatoa Bei Elekezi ndo maana iPhone X zinauzwa mpaka 2,400,000 iweje ununue iPhone 7 plus 64GB kwa 2,400,000 kisa mlimany City? Apple wana haki ya kuwa suspend.
Hawa istore ni wale waliopo pembeni ya duka la tigo??
 
Binafsi nilikua nahitaji kubadilisha Simu ila Nimezunguka DSM sijapata wengi wanauza zilizofunguliwa na zilizotumika . nimeenda iStore Mlimany City they are living in their world iPhone 7 Plus 32GB wanauza Sh. 2,300,000 ni zaidi ya USD 1,000 bei ya iPhone X ilipotangazwa Mwaka Jana.

Wakuu nahitaji duka ama sehumu ambayo naweza kupata hizi Simu zikiwa na Seal.
😀😀😀😀kimbia kabisa hapo,wanaweza wakakiuzia iphone x mil5,sio watu wazuri hapo mcity.
 
Jaribu pale mlimani kwa nje upande wa kama unaelekea chuo kuna duka wanajiita fella genuine wanajitahidi kuwa na iphones kwa bei nzuri..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom