Msaada wakuu... Orange white screen

Msaada wakuu... Orange white screen

VGA nimechomoa nimeweka tena..
Nimechange monitor

Nimeaweka CPU nyingine kwa hii monitor mzigo upo fresh

Yaan ishu ni CPU hii about hzi connection zote zipo oky mkuu..

Na ukiwasha inaanza kuwaka vzri tu na maneno yanakuja yale ya click esc sijui f1 as normal ila baada ya hapo kile ki window icon hakiji
Uliigonga sehemu?
 
Uliigonga sehemu?
Hapana ila nachokumbuka juzi nili change vga nikaweka kwa desktop nyingine...
Nakuja kurudisha huku nakuta mambo si mambo..

Kingine inawaka safi tuu inaleta mpaka ile hp icon ila suala la ku start kwenda kwa window hapo ndo inaanza leta mistar
 
Hapo kuna mawili unatumia , vga au Hdmi ? Tatizo hapo ni possible display driver au waya zako
Waya ipo.oky..
Natumia vga.....

Ubaya wa hi ngoma haifiki huko ambako ingekua rahisi mimi ku update drive za kioo. Ni ni kweli driver zipo updated...

Waya wala hazina shida.... Na je ili ku overcame hii tatzio nafanyaje.. ukisema ni update drive nauliza how..?
 
Hapana ila nachokumbuka juzi nili change vga nikaweka kwa desktop nyingine...
Nakuja kurudisha huku nakuta mambo si mambo..

Kingine inawaka safi tuu inaleta mpaka ile hp icon ila suala la ku start kwenda kwa window hapo ndo inaanza leta mistar
au virus ?
 
Mkuu nimekesha nae huyo chat...
Mkuu kuna mambo yaache tuu an Al anapokufikisha..
Atasema ni connect na internet... Hapo unamwambia haijawaka bado..

Anasema u boot .. huku kwenye ku boot wanakuletea lugha za ajabu
Duh,haoo rudi ulikoitoa tu
 
FOREX, BANGI NA GYM.

Inatooosha kabisa kwa mwanaume
0BC6331D-8B4F-476F-B51C-29B1D3499FFE.jpeg
 
Back
Top Bottom