Msaada wakuu... Orange white screen

Msaada wakuu... Orange white screen

Wakuu hata kula sijala kmmke hamu sina mi nalizima aiseeee aaaaah..
Kwanza huku nasumbukia mashine yangu..
Huku mshangazi anasema bardi kali
An navurugika
 
Mkuu kwa haraka hii ishu ni software au hardware...?
Na je unazani kuna uwezekano wa kushusha window..?
Mwanzo nilikua nadhani ni hardware ila ulivyotuma motherboard yako napata ukakasi kuendelea kuhisi hivyo kwa maana wewe hautumii graphic card bali integrated...

Wacha tujarubu hii ya mwisho then nikwambie kitu, twende kwenye bios moja kwa moja ili tukatafutie safe mode huko then hii kama itagoma hapa itakua na uhakika moja kwa moja kwamba shida ni software ila kama itawaka bila hiyo mistari tutajua shida iko kwenye hardware either kwenye hilo betri RAM or something.

So twende na hii option ya mwisho kwanza.

Washa bonyesa F1 kisha fanya interrupt kwa kubonyeza button ya power mara kadhaa ili uingie kwenye bios.
 
jaribu ask 4 assistance from AI tools ROBOT eg chat G pt.
Mkuu nimepta kote huko angalia my recent tab hapo
Screenshot_2025-06-30-01-02-28-656_com.android.chrome.jpg
 
Mwanzo nilikua nadhani ni hardware ila ulivyotuma motherboard yako napata ukakasi kuendelea kuhisi hivyo kwa maana wewe hautumii graphic card bali integrated...

Wacha tujarubu hii ya mwisho then nikwambie kitu, twende kwenye bios moja kwa moja ili tukatafutie safe mode huko then hii kama itagoma hapa itakua na uhakika moja kwa moja kwamba shida ni software ila kama itawaka bila hiyo mistari tutajua shida iko kwenye hardware either kwenye hilo betri RAM or something.

So twende na hii option ya mwisho kwanza.
Washa bonyesa F1 kisha fanya interrupt kwa kubonyeza button ya power mara kadhaa ili uingie kwenye bios.

Hapa sijakupata
 
Washa compyuta yako ikiwa inaendelea kuwaka kabla haijafika kwenye window si huwa inakuletea yale maelezo ya kukwambia kwamba time haiko sawa na bla blah kisha inakupa option ya F1 sasa bonyeza hiyo f1 uendelee na baada ya hapo sasa ndio fanya interrupt boot kwa kugusa hiyo button ya power mara tatu kisha itakupeleka kwenye kurepair ukifika huko tutaitafuta safe mode... Fanya hiyo kwanza.
 
Nimeizima mkuu kw kweli kesho tafanya ila nikiona mazingira sio.nakuchek...
Si upo hapa hapa dasalam mkuu
 
Kumekucha wakuu wangu wa technologiaaaaaaa

Wakuu karibuni mzigo umenuna huu hauchekeshi
 
Wakuu mzigo nimeuleta mpaka hapa..
Sasa hapa siugusi nasubri muamke kwanza maana nisije nikachanganya mambo tena
IMG_20250630_063938.jpg
 
Back
Top Bottom