Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,310
- 5,977
Au piga shift na restartLet do this
Au piga shift na restartLet do this
Oky mkuu let explain hapa..Iguse mara kadhaa f8
Washia kwenye safe mode. Nadhani ni f8 kwenye machine za hp. Bonyeza pale inapotokea logo.Hp mkuu core 5.
Ram 4
Pro 3.
Ya kulala
Nahisi shida sio window ila ni driver au kama kuna graphics card itakua ziko incompatible so angalia hayo maeneoLet do this
Jaribu f4 pia.Mkuu safe mode haifiki kila niki click f8 inanipa alam tu
Mkuuu najaribu hii njia ya safe mode the. Nakupa mrejeshoWashia kwenye safe mode. Nadhani ni f8 kwenye machine za hp. Bonyeza pale inapotokea logo.
Sometime kama ulikua online kuna updates zinaweza zikawa zimefanyika ambazo haziendani na pc yako. Kwa kesi yako nahisi ni za grafics.
Ukifanikisha kuwasha disable au uniinstall hizo driver.
Solution nyingine ni kuniinstall latest update zote kiujumla zilizofanyika. Hiki kipengele kinapatikana utakipata ukifanikiwa kuwasha kwenye safe mode pia.
Sawa mkuuJaribu f4 pia.
Then ukigusa F1 inakupeleka wapi... I mean baada ya hapoOky mkuu let explain hapa..
Ukiwasha before uja do chochote inaleta hiiiView attachment 3388861
Issue ya graphics card ... Hii sijaweka extra graphic cardNahisi shida sio window ila ni driver au kama kuna graphics card itakua ziko incompatible so angalia hayo maeneo
Baada ya hapo inaweza kuja hapo hapo kama mara tatu then inaleta screen ya hovyo hyo..Then ukigusa F1 inakupeleka wapi... I mean baada ya hapo
Mkuu imekataa inaleta alramJaribu f4 pia.
Kabla haukafika kwenye screen ya mistari ndio unatakiwa upige hiyo ila kwa windows 10 na 11 hii option huwaga inazingua sometimes so shikilia shift kisha restart ili uingie kwenye advance na huko ndio uende kwenye option ya safe mode.Then nikiclick f1 inaleta ile orange screen..
Hyo f8 ya safe mode naiclik ikiwa wapi pale inapowashwa au pale baada ya ku click f1
Screen inashida au check kwenye VGA ikae vizuri
Changamoto kama hiyo mara nyingiWasalam
Wakuu naombeni msaada najua kuna wataalamu humu maana mimi nimehangaika weeeh mpaka YouTube mpaka sasa nimekula tutorial kama 3 ila wapi sijatoboa
Screen nikiwasha inaanza kama kawaida ita leta hp pale na notification zingine za kawaida..
Inapofika state ya ku start inaleta orange screen namna hiyo hapo chini.
Mashine mpya haina hata miezi..
Je nirudishe au naweza solve hili suala bila kurudisha..?
Screen inakua hvoView attachment 3388841
Mkuu kwa haraka hii ishu ni software au hardware...?Kabla haukafika kwenye screen ya mistari ndio unatakiwa upige hiyo ila kwa windows 10 na 11 hii option huwaga inazingua sometimes so shikilia shift kisha restart ili uingie kwenye advance na huko ndio uende kwenye option ya safe mode.
Ukishindwa nitumie nauli nije nikurekebishie mkuu😂😂
Hizo njia zote nimefanya mkuu...Screen inashida au check kwenye VGA ikae vizuri
Au chukua screen ingine uunge
Kama itaonyesha kwenye screen ingine bas hiyo inashida
Na isipo onyesha bas shida ni kwenye VGA au CPU
Ikikataa icheck graphic card
Hii ki desktop mkuu..Changamoto kama hiyo mara nyingi
Ni issue ya
- driver zime failure
- display settings zimekaa hovyo
- hardware
Angalia window update
Badilishs window weka nyingine
Angalia waya wa display ambao ni physical kama uko connect well
Karibu kuungsnisha kwenye Tv au monitor uone kama bado inasumbua