Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,403
- 54,847
- Thread starter
- #21
Ngoja tuone kwann kalala mapema hvMtag CHIEF MKWAWA nadhani kesho akiingia ataiona
Ngoja tuone kwann kalala mapema hvMtag CHIEF MKWAWA nadhani kesho akiingia ataiona
Hapa natumia simu...Kwahiyo sasa hivi unatumia CPU nyingine sio
Hii Saa saba kasoro mkuu😄Ngoja tuone kwann kalala mapema hv
😁 windo imetafunwa 🤣Mkuu window again..
Hii ya window sio last option lakini?
Bado mkuu wanaume kulala sa nane au nane kasoro ujueHii Saa saba kasoro mkuu😄
Duuh kama ni window mbona its too early sasa daaah ngoja nipige window tuu ka vipi...😁 windo imetafunwa 🤣
Jaribu kwanza safe modal uone coz nahisi ishu itakua ni driver, ukiona kwenye safe mode inafunction poa basi basi angalia driver ila ikigoma na huko tutahamia kwa window.Hapa natumia simu...
Hii monitor nikiweka vga na laptop mzigo upo poa kabisa..
Inategemea... Sisi wa mikoani saa tatu usiku ni muda tunakoromaBado mkuu wanaume kulala sa nane au nane kasoro ujue
Huwa siikubali hii window, ni kama haipo stable hivi... Halafu kwanini unatumia window? Piga Kali Linux 😅😅Duuh kama ni window mbona its too early sasa daaah ngoja nipige window tuu ka vipi...
Alafu inaelekea window 11 ya kiwaki sana kubabek hii inatia hasira
Daaah safe mode okyJaribu kwanza safe modal uone coz nahisi ishu itakua ni driver, ukiona kwenye safe mode inafunction poa basi basi angalia driver ila ikigoma na huko tutahamia kwa window.
au ribut sistimuDuuh kama ni window mbona its too early sasa daaah ngoja nipige window tuu ka vipi...
Alafu inaelekea window 11 ya kiwaki sana kubabek hii inatia hasira
Nipe code hapoau ribut sistimu
Washia kwenye safe mode.Duuh kama ni window mbona its too early sasa daaah ngoja nipige window tuu ka vipi...
Alafu inaelekea window 11 ya kiwaki sana kubabek hii inatia hasira
Ukishift f8 vipi?Daaah safe mode oky
Hapa napiga ctrl +alt delet mzigo unakubali...
Nikizima the. Niki f8 hakuna safe mode mzee
Mkuu safe mode haifiki kila niki click f8 inanipa alam tuWashia kwenye safe mode.
Bado inanipa alarmUkishift f8 vipi?
Iguse mara kadhaa f8Bado inanipa alarm
Let do thisIguse mara kadhaa f8