Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Natumaini jamiiforums ina watu wenye experience na ujuzi katika mambo mbalimbali,

Tatizo langu,
Nimerogwa na mpenzi,sasa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke mwingine tofauti nayeye tu.
Nikiwa na yeye mashine inasimama safi tu,
Lakini nikiwa na mwanamke mwingine mashine haisimami na hata ikisimama nikitaka kuweka tu basi mashine inalala palepale,

Naombeni ushauri/msaada wa kuondokana na hii changamoto kiukweli inaumiza sana,
Kuliko nifanye maamuzi mabaya yanayo weza pelekea kunigharimu basi nimeona nije kwenu wakuu,

najua humu siwezi kosa msaada,
Labda kuna mtu alishawahi kupitia hiyo changamoto akafanikisha kutatua au alishuhudia mtu ana changamoto hiyo na akafanikisha kutatua,basi aniambie pakuanzia

Nb: kama unapata riziki kwenye pilika zako kuwa makini sana na hawa maslay queen wa mjini wenye njaanjaa🙏
Gentleman,
umejiloga mwenyewe kisaikolojia kwa kukubali kua mtumwa wa kingono kwa huyo mpenzi feki ambae amekutisha na kukuingiza kwenye ushirikina kindezi sana.

achana nae na mapenzi yake feki ya kipepo
 
Kama umelogwa na hujafa shukuru Mungu. Kuna mwenzako kafa kwa kutiliwa dawa na mke wake.Wanawake wamekuwa walogi sana kulinda ndoa/penzi lao hasa kwa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi. Ingekuwa huna uwezo kiuchumi huyo mwanamke asingehangaika kukuloga, sanasana angekuacha upambane mwenyewe na hali yako ya ukapuku
 
Back
Top Bottom