Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

Kuna hio line ya mwisho hapo uliposema yeye anataka kumla tu wakati hajamuoa ndio paliponifanya nikacheka sio vinginevyo hayajawahi kunikuta hayo hata kidogo
Kuna mabinti huwa wanatumia hiyo mbinu ili kukufanya ushindwe kuwa na mahusiano mengine nje tofauti na yeye....

Japo jambo hili huwa na side effect kwake pia, maana huyo mwanaume atakuwa na nguvu nyingi kuliko kawaida na atataka kumwingilia kila siku kutokana na athari za hilo tego

Na mara nyingi ikitokea huyo Mwanaume akmwacha, anaweza asisimamishe maisha yake yote hadi ategue hilo tego
 
Mbona hamtupi hizo mbinu we mzee?🫢
 
Tuma majina matatu ya mpenzi wako pamoja na tarehe ya kuzaliwa bila kusahau namba yake ya simu tumloge na yeye ngoma drow 😎
 
Kuna mabinti huwa wanatumia hiyo mbinu ili kukufanya ushindwe kuwa na mahusiano mengine nje tofauti na yeye....

Japo jambo hili huwa na side effect kwake pia, maana huyo mwanaume atakuwa na nguvu nyingi kuliko kawaida na atataka kumwingilia kila siku kutokana na athari za hilo tego

Na mara nyingi ikitokea huyo Mwanaume akmwacha, anaweza asisimamishe maisha yake yote hadi ategue hilo tego
Sasa huoni hapo ni issue ya kisaikolojia
 
Back
Top Bottom