Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,430
- 867,122
Kila kitu kina kikomo cha kuwa akiweza avumilie asubiri ama la aongee naye ajue alifanya VP ili ateguenamna ya kujikomboa
Kila kitu kina kikomo cha kuwa akiweza avumilie asubiri ama la aongee naye ajue alifanya VP ili ateguenamna ya kujikomboa
usichezee 😁😁😁Usiibe simu ya mganga uta delete mizimu
Dah! 😂😂 Nimechanganya mafailiusichezee 😁😁😁
kwahiyo mganga mizimu ame download play store 😂Dah! 😂😂 Nimechanganya mafaili