Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

Mimi sina cha kukushauri kwanza wewe umejuaje km ni yeye ndie aliekuroga au alikupa taarifa wakati anaenda kukuroga umejuaje ulimkuta seheemu akiwa anakuroga umejuaje km ni yeye ndie kasababisha na sio wewe mweenyewe na saikolojia yako ya kuokotaokota wanawake wa kwenye njia na kutaka kulala nao?

Anzia hapo alikuutarifu kabla ya kwenda kukupiga komeo sasa wewe ukaenda kuokota kimchepuko chako ili ukajaribu kuona je kweli uchawi upo uchawi unafanya kazi au ni akili yako tu inakuambia? Ramli chonganishi ulienda kwa mganga ndie aliekwambia hivyo kua huyo mpenzi ulienae ndie aliekufunga ndio jibu ulilopewa una uhakika?

Mimi sina cha kukushauri mpaka unipe kwanza majibu ya hayo maswali
 
Imani za Kijadi na Kishirikina
Katika imani za kishirikina, watu wengi huamini kuwa inawezekana mwanamke (au mtu yeyote) akatumia mbinu za "ndele" au "vifungo" kumfanya mwanaume asitake kutoka nje. Hii mara nyingi huelezewa kama

Kumfunga mtu:
Kumfanya mwanaume apoteze hamu ya kwenda nje ya nyumbani au kukutana na marafiki, na badala yake kutaka kuwa na huyo mwanamke tu.

Kutuliza:
Mbinu zinazodaiwa kumfanya mwanaume awe "mnyonge" au "msikivu" kupita kiasi ili asifanye maamuzi yake mwenyewe.
ulishawahi kuapply kwa mkeo ? maana wew ni mtaalamu
How it works?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Natumaini jamiiforums ina watu wenye experience na ujuzi katika mambo mbalimbali,

Tatizo langu,
Nimerogwa na mpenzi,sasa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke mwingine tofauti nayeye tu.
Nikiwa na yeye mashine inasimama safi tu,
Lakini nikiwa na mwanamke mwingine mashine haisimami na hata ikisimama nikitaka kuweka tu basi mashine inalala palepale,

Naombeni ushauri/msaada wa kuondokana na hii changamoto kiukweli inaumiza sana,
Kuliko nifanye maamuzi mabaya yanayo weza pelekea kunigharimu basi nimeona nije kwenu wakuu,

najua humu siwezi kosa msaada,
Labda kuna mtu alishawahi kupitia hiyo changamoto akafanikisha kutatua au alishuhudia mtu ana changamoto hiyo na akafanikisha kutatua,basi aniambie pakuanzia

Nb: kama unapata riziki kwenye pilika zako kuwa makini sana na hawa maslay queen wa mjini wenye njaanjaa🙏
Na wewe kamroge, akigongwa na mwingine mashine inasie ndani mkuu.

Hii itakusaidia kuokoa uchumi wako.
 
Back
Top Bottom