asante sana kwa kujua hilo na jua kuwa nakupenda kwa kuwa unajua nakupenda na kwa kuwa upendo wetu unaonekana si kw amaneno matupu bali kw avitendo
Asante sana darling and I love you so much

malovee ya maua na phone display mie sio mtaalamu kabisaaa. ungeniuliza wapi pa kupata romantic dinner, gateway na fiesta binafsi, na wallet za sale kwa ajili ya surprise hapo ungenipata.