Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Salaam!
Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki.
Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka.

Naombeni Kujuzwa kwa wale waliowahi kumbana na adha hii.
 
Hiyo Plug zimeisha au zimeshika kutu. Kwahiyo Ignition haitosha kusukuma Transmision kwa Combustion Engine.
 
Mkuu umeandika kitalaamu au umeandika kwa uzoefu wa mtaa?

Kwanza kabisa plug haiwezi kushika kutu kutoka na mazingira yake ya utendaji bali inaweza kushika kitu kama masizi yanayotokana na mlipuko katika combustion chamber

Lakini pia plug haiwezi kuwa sababu ya starter motor kushindwa kuanzisha mzunguko.

Na, Plug huwa haziishi kwa pamoja.

Mleta mada hajasema kama gari yake ni ya diesel au petrol, sababu kunatofauti ya utendaji ktk engine, ulipaswa kuuliza hilo..
 
Salaam!
Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki.
Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka.

Naombeni Kujuzwa kwa wale
waliowahi kumbana na adha hii

Kabla sijajibu kitu naomba kufahamu kama gari yako inatumia diesel au petrol? sababu kuna tofauti ya kufanya visual inspection kati ya gari ya petrol na diesel inapotokea tatizo la starting kama hili..
 
Ni ya Petrol Mkuu.

italaamu au umeandika kwa uzoefu wa mtaa?

Kwanza kabisa plug haiwezi kushika kutu kutoka na mazingira yake ya utendaji bali inaweza kushika kitu kama masizi yanayotokana na mlipuko katika combustion chamber

Lakini pia plug haiwezi kuwa sababu ya starter motor kushindwa kuanzisha mzunguko.

Na, Plug huwa haziishi kwa pamoja.

Mleta mada hajasema kama gari yake ni ya diesel au petrol, sababu kunatofauti ya utendaji ktk engine, ulipaswa kuuliza hilo..
 
Kabla sijajibu kitu naomba kufahamu kama gari yako inatumia diesel au petrol? sababu kuna tofauti ya kufanya visual inspection kati ya gari ya petrol na diesel inapotokea tatizo la starting kama hili..
Ni ya Petrol Mkuu. Karibu kwa Ufafanuzi Mkuu!
 
Yah, maana unaiona kabisa inalalamika ila muendelezo wa Kustart unakuwa haupo.
Aaaaah ni gariii ya petrol au diesel mkuu na ikiikaa kwa muda gan inawaka hiyo gar au ndo haiwaki hata kidgo inaishia hvyo na kama baadae inawaka ina maana ina ugonjwa wa hard start je ukipiga kwa muda inawaka
 
Haiwaki kabisa Mkuu, inaishia hivyo hivyo.
Gari ni ya Petroli.
 
Back
Top Bottom