Msaada: Wajuzi wa computer

Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,834
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,834 2,000
Na vitu gani vingine nivizingatie
CHIEF MKWAWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye gpu kuna vitu vya kuangalia kama hivi.
1. Power supply ya desktop inabidi iwe na uwezo wa kuendesha hio gpu, mara nyingi 400watts ni minimum ila desktop zetu zinazouzwa huku ni za oems na zina psu ndogo sana 280w ama 300w. Hivyo utahitaji gpu inayokula umeme kidogo kama hio 750ti ama Amd RX550.

2. Gpu iwe low profile, Gpu za namna hii zinakuwa ndogo na kukubali kuingia kwenye desktop ndogo pia, na vile vile hazihitaji umeme kutoka kwenye power supply moja kwa moja, ukichomeka tu kwenye motherboard inachukulia umeme humo. Hizi desktop zetu nyingi hazina waya wa psu kwenda gpu ama kitu chengine cha kuchomeka kwenye PCI
 
publito

publito

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
271
Points
500
Age
34
publito

publito

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
271 500

Mkuu kwema...nataka niagize hii geforce gtx 750ti
Kwa vigezo ulivyosema kulingana na computer yangu hii si inakidhi.....msaada tafadhari kabla sijaagiza
screenshot_20190114-191345-jpeg.1098195
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,834
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,834 2,000
Mkuu kwema...nataka niagize hii geforce gtx 750ti
Kwa vigezo ulivyosema kulingana na computer yangu hii si inakidhi.....msaada tafadhari kabla sijaagizaView attachment 1098195
Kwa uelewa wangu itakubali ila kuna mambo uyafahamu.
1. Kuna gpu ndefu na fupi
2. Kuna gpu za kawaida na low profile.

Ukinunua tu random 750ti inaweza isitoshe kwenye hio desktop ambayo ni ndogo kiumbo, hivyo utahitaji ambayo ni low profile.

Bahati mbaya jamaa zetu wa Aliexpress hawasemi vitu kama hivi. Hivyo ni vyema kuwasiliana na muuzaji akuhakikishie.
 
publito

publito

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
271
Points
500
Age
34
publito

publito

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
271 500
Kwa uelewa wangu itakubali ila kuna mambo uyafahamu.
1. Kuna gpu ndefu na fupi
2. Kuna gpu za kawaida na low profile.

Ukinunua tu random 750ti inaweza isitoshe kwenye hio desktop ambayo ni ndogo kiumbo, hivyo utahitaji ambayo ni low profile.

Bahati mbaya jamaa zetu wa Aliexpress hawasemi vitu kama hivi. Hivyo ni vyema kuwasiliana na muuzaji akuhakikishie.
Shukrani sana...na kwenye ddr3 na ddr5 zinatofautiana computer na computer au zinaingiliana? Na kama zinatofautiana unaangaliaje kwenye computer kujua kama ni ddr3 au ddr 5?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,834
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,834 2,000
Shukrani sana...na kwenye ddr3 na ddr5 zinatofautiana computer na computer au zinaingiliana? Na kama zinatofautiana unaangaliaje kwenye computer kujua kama ni ddr3 au ddr 5?
Mkuu kwenye computer bado hatujafika ddr5 latest ni ddr4. Na ddr4 zilianzia gen ya 6 kwa intel (gen ya 6 ndio mapito kuna za ddr4 na ddr3). Gen za nyuma zinatumia 3 mfano hiyo ya kwako, kwa amd zimeanzia ryzen series, na kwa simu zinatumika kwenye snapdragon/exynos highend series.

Ila kwenye gpu zipo Gddr5 ambazo zinatumika kwenye gpu ya kisasa. Na gpu za bei rahisi zinatumia ddr3.
 
publito

publito

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
271
Points
500
Age
34
publito

publito

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
271 500
Mkuu kwenye computer bado hatujafika ddr5 latest ni ddr4. Na ddr4 zilianzia gen ya 6 kwa intel (gen ya 6 ndio mapito kuna za ddr4 na ddr3). Gen za nyuma zinatumia 3 mfano hiyo ya kwako, kwa amd zimeanzia ryzen series, na kwa simu zinatumika kwenye snapdragon/exynos highend series.

Ila kwenye gpu zipo Gddr5 ambazo zinatumika kwenye gpu ya kisasa. Na gpu za bei rahisi zinatumia ddr3.
Shukrani
 
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,099
Points
2,000
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,099 2,000
Mwendo wa kuunga Mpaka kieleweke!
2019-05-15_17-18-13_1-jpeg.1098477
 
Forum statistics

Threads 1,295,907
Members 498,472
Posts 31,227,666
Top