Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

Akili za mtoto wa mchepuko! Kabla hujaenda mbali jaribu DNA test ujiridhishe.
Wamama hawaaminiki.

Subiri kidogo na wewe utasingiziwa mimba/mtoto ndo utaujua huu mziki ukoje.

Ukipiga mahesabu haiji ila mdada anasema ni wewe!

Ukicheki sura hola!

Huu mziki kwa wababa usipime!
 
Hapo ndipo tatizo lilipo.
Inaonekana haaminiki kwa mzee wake.
Yaani hawezi hata kutoa mchanganuo wowote wa kibiashara au kimaisha kwa hiyo baba yake hawezi kushawishika kutoa pesa yake mfukoni kwa sababu anajua itapotea tu.
soma vzr Uzi wangu usikulupuke kutoa maon
 
Ndio hivyo,jamaa anatumia nguvu nyingi kutaka kumsumbua baba yake,mama yake mzazi amekaa pembeni kimya anausoma mchezo.
 
nimeisha singiziwa sana mimba co usinitishe mapak now ninawatoto3 njee na wote nawalea cjawai waza kuwapima DNA
 
Ni rahisi dogo kupata hasira kwa sababu ana habari za upande mmoja. Fanya utafiti wa kina kujua huyo mzee anakukubali au alikubali kuepusha shari.

Au je mamako alitaka kuvunja ndoa halali ili aingie yeye akafeli?

Kuwa mkweli. Kuna ushirikina hapo?

Usijione muhanga na kujihesabia haki tuuu.

Chunguzaaa.

Huenda Mungu anakuepusha na jambo kubwa mbeleni.
 
Hivi kuna sheria inayompangia mtu matumizi ya jasho lake?

Vuna vyako na wewe uamue nani umpe au usimpe.
 
Hamna sheria ya kudai urithi kwa babako aliye hai. Subiri afe ndipo udai. Umeshakuwa zaidi ya miaka 18 baba hana haki kwako ya kukutunza. Labda kama ungekuwa unasoma.

Pole sana naona watu wanakueleza ukweli unawatukana....unajifanya unajua sasa kama majibu unayo uliandika humu ili iweje jombaaa?

Pambana na hali yako kubali tu kuwa huna chochote toka kwa babako.

Kisa umeona mafao unayatamaniii...kwi kwi kwiiiiiii
 
mama ang hakutaka kuvunja ndoa baba alikutana2 chuon must mama akiwa nasoma na baba akiwa mwalimu ndio wakanizaa Mimi na baba ananikubali sana shida ipo kwa mkewe cjui kampa daw maana alishawai nitishia had kuniuwa baba alipo nileta kwake
 
Inawezekana dingi hana uhakika kama wewe ni mwanae wa halali
kama hana uhakika cakanipime DNA ila hata nkiweka picha yang na ding huwez tofautisha 2navyo fanana hata hata kitaa na kazin kwake wenzie wa mshua wananita jina analog itwa mshua
 
kama hana uhakika cakanipime DNA ila hata nkiweka picha yang na ding huwez tofautisha 2navyo fanana hata hata kitaa na kazin kwake wenzie wa mshua wananita jina analog itwa mshua
Ngoja nikuchongee Deal wewe ulimfuataje akachomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…