Msaada wadau, Vigae/tiles nzuri na bora(durable) ni zipi?

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,126
1,837
Habari wadau wa ujenzi,naomba ufafanuzi juu ya tiles/vigae,ni criteria zipi/au kipimo gani/tunaangalia nini na nini kujua tiles hii ni bora?

Hapa nazungumzia tiles za sakafuni especially za kuweka vyumbani, sebuleni, kibarazani, koridoni na sio jikoni na vyooni.

Je bei kuwa kubwa ndio tiles bora?

Kuwa slippery?

Kuwa 3D?

Ung'avu wa kioo?

Unene wa tiles na ukubwa wake(mm)?

Je,sehemu zinapotengenezwa?

Je,ni za ndani au nje ya nchi ndio bora zaidi (brand).

Mwenye uelewa aje tafadhari.

fundi_tiles_1649180047155964.jpg
 
Kwa tanzania tiles zilizo bora now ni Twyford at least wanajitaidi kutoa Spanish design
Sitting room ukitaka itoke poa weka 50*50 size au 60*60 ndo inakuwa fresh

Check kama izi sample apa chini..

Nakama unaitaji size yoyote nichek
0623152344

View attachment 2184885
So Twford wamecopy za Spain halafu wewe ndio unasema kuwa wao ndio bora? Ina maana wao ndio bora kuliko walio wacopy?
Kwa Ubora iko hivi:
Spanish/Italian>Chinese>Goodone>Twford.
Tofautisha kati ya Ubora na Urahisi, Twiford ni rahisi ndio maana zipo nyingi na ndio zinanunuliwa sana kwa sababu ya bei yao kuwa cheap ukilinganisha na nyingine.
 
Kwa tanzania tiles zilizo bora now ni Twyford at least wanajitaidi kutoa Spanish design
Sitting room ukitaka itoke poa weka 50*50 size au 60*60 ndo inakuwa fresh

Check kama izi sample apa chini..

Nakama unaitaji size yoyote nichek
0623152344

View attachment 2184885
Mkuu bihashara matangazo, weka bei kama uko serious nawengine tuone ili tuvutike, haya mambo ya kuitana chocholoni siyo
 
Habari wadau wa ujenzi,naomba ufafanuzi juu ya tiles/vigae,ni criteria zipi/au kipimo gani/tunaangalia nini na nini kujua tiles hii ni bora?

Hapa nazungumzia tiles za sakafuni especially za kuweka vyumbani, sebuleni, kibarazani, koridoni na sio jikoni na vyooni.

Je bei kuwa kubwa ndio tiles bora?

Kuwa slippery?

Kuwa 3D?

Ung'avu wa kioo?

Unene wa tiles na ukubwa wake(mm)?

Je,sehemu zinapotengenezwa?

Je,ni za ndani au nje ya nchi ndio bora zaidi (brand).

Mwenye uelewa aje tafadhari.

View attachment 2184109
Kama unahitaji tiles nzuri na zenye ubora bila kujali bei nenda kwenye maduka ya dar ceramica au CTM
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom