Changamoto ya uchafu sugu wa masink na tiles

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
372
440
Uchafu sugu ni nini??

Uchafu sugu ni hali ya uchafu ulio na mwonekano wa rangi tofauti na asili ya sink na vigae ambayo haiwezii kuroka kwa urahisi

Hii ni changamoto ambayo inawasumbua watu wengi kutokana na kutojulikana sababu zake ni zipi na ni njia zipi bora za usafi zinakazo saidia , kupunguza na kuondoa kabisa uchafu katika masink na tiles

Karibia asilimia 95% ya watu hawajui njia ya kutatua changamoto hii zaidi ya kubadilisha miundombinu iliyochakaa tu kitu ambacho akina msaada hasa pale tatizo linapojirudia kwa mara nyingine tena

Hii inatokana na kwamba elimu ya kushughulikia uchafu sugu huwezi kuipata sehem kwa kufundishwa mashuleni wala vyuoni leo hii imekuwa changamoto kubwa kiasi kwamba utaikuta kila sehemu

Jaribu kutembelea vituo vya afya , mahotel , mashuleni, vyuoni, lodge au nyumba za majirani kwa kiasi kikubwa ukifananisha utagundua changamoto hii ya uchafu sugu katika masink na tiles ipo kila sehemu

Unaweza kudhani kuwa wahusika wa eneo hilo niwachafu kutokana na muonekano wa sehwmu za chooni na bafunii

La sihivyo kwamba wahusika wa eneo hilo ni wachafu isipokuwa wamekosa njia sahihi za kutatua japokuwa wanataman kutatua changamoto hii ndo maana wananunua dawa za gharama wakiamini kwamba kilicho nagharama ndo kina uwezo wa kutatua changamoto hii ya uchafu sugu wa sink na tiles kumbe si hivyo

Baadhi ya watu wameamua kubadilisha miundombinu iliyo na uchafu baada ya kushindwa kusafisha lkn baada ya muda tena shida inajirudia kwa mara nyingine tena

Kama unachangamoto hii nakupatia elimu bure ya kuweza kutatua tatizo hili pia

Kama unasumbuliwa na vumbi kwenye fanicha zako

Tatizo la bafu kuziba kushindwa kupeleka maji

Halufu mbaya kwenye vyooo

Pia kusumbuliwa na wadudu kama kunguni, mende nzi na mbu katika mahotelini, mashuleni , lodge, na nyumban

Na pia kusafisha ukuta wenye rangii

Na vioo na milango pia

Usafi ni afya na afya ni mtajii
1656245494410.jpg
1656245425769.jpg
 
Sasa solution ya hayo matatizo ni nini?? Naona maelezo tuu.
Solution nikutumia hatua taratibu zinazofaa katika. Kusafisha uchafu sugu

Nakumbuka kuwa dawa sio ambayo inaleta matokeo ya moja kwa moja ila ni kwakifata utaratibu maalumu hakikisha unavitu vifuatavyo katika kufanya usafi huo

Dawa ya kusafisha masink
Msasa laini
Brush
Gloves
Mask

Hatua
Anza nakumwagia dawa kwenye sink lako kaa kwa dkkk 15-20 kuruhusu reaction kutokea

Baada ya hapo anza kusugua na msasa wako size 120 au brush taratibu kwa dkk kadhaa. Hlf

Unamwaga majii nakuangalia sehemu zilizobaki unamwagia dawa tena kwa kufata hatua zile zile
Halafu sugua tena mpk uhakikishe sink lako liko safiii hapo utakuwa

Umemaliza usafiii wako
 
Uchafu sugu ni nini??

Uchafu sugu ni hali ya uchafu ulio na mwonekano wa rangi tofauti na asili ya sink na vigae ambayo haiwezii kuroka kwa urahisi

Hii ni changamoto ambayo inawasumbua watu wengi kutokana na kutojulikana sababu zake ni zipi na ni njia zipi bora za usafi zinakazo saidia , kupunguza na kuondoa kabisa uchafu katika masink na tiles

Karibia asilimia 95% ya watu hawajui njia ya kutatua changamoto hii zaidi ya kubadilisha miundombinu iliyochakaa tu kitu ambacho akina msaada hasa pale tatizo linapojirudia kwa mara nyingine tena

Hii inatokana na kwamba elimu ya kushughulikia uchafu sugu huwezi kuipata sehem kwa kufundishwa mashuleni wala vyuoni leo hii imekuwa changamoto kubwa kiasi kwamba utaikuta kila sehemu

Jaribu kutembelea vituo vya afya , mahotel , mashuleni, vyuoni, lodge au nyumba za majirani kwa kiasi kikubwa ukifananisha utagundua changamoto hii ya uchafu sugu katika masink na tiles ipo kila sehemu

Unaweza kudhani kuwa wahusika wa eneo hilo niwachafu kutokana na muonekano wa sehwmu za chooni na bafunii

La sihivyo kwamba wahusika wa eneo hilo ni wachafu isipokuwa wamekosa njia sahihi za kutatua japokuwa wanataman kutatua changamoto hii ndo maana wananunua dawa za gharama wakiamini kwamba kilicho nagharama ndo kina uwezo wa kutatua changamoto hii ya uchafu sugu wa sink na tiles kumbe si hivyo

Baadhi ya watu wameamua kubadilisha miundombinu iliyo na uchafu baada ya kushindwa kusafisha lkn baada ya muda tena shida inajirudia kwa mara nyingine tena

Kama unachangamoto hii nakupatia elimu bure ya kuweza kutatua tatizo hili pia

Kama unasumbuliwa na vumbi kwenye fanicha zako

Tatizo la bafu kuziba kushindwa kupeleka maji

Halufu mbaya kwenye vyooo

Pia kusumbuliwa na wadudu kama kunguni, mende nzi na mbu katika mahotelini, mashuleni , lodge, na nyumban

Na pia kusafisha ukuta wenye rangii

Na vioo na milango pia

Usafi ni afya na afya ni mtajiiView attachment 2274092View attachment 2274098
Kuna kitu kinaitwa Aro utapenda ma sink yako
 
Inapatikana wapi dea, nieleze nkanunue mie. Yaan namaliza pesa sana kwa vifaa vya usafi bafuni na chooni.
Wanauza hata supermarket........ Nenda kaulize Natafuta Aro ya kusafisha masink ya choo, na vigae watakupatia..... Kopo refu la pink
 
Inapatikana wapi dea, nieleze nkanunue mie. Yaan namaliza pesa sana kwa vifaa vya usafi bafuni na chooni.
Kwenye maduka yote ya vitu vya usafi au vya nyumbani, hata kwa mangi huwa zipo, ila andaa mask kama alivyosema mleta mada maana ina harufu kali balaa binafsi siwezi kuitumia huwa inanichanganya kichwa ila mng'ao sink na tiles zako utapenda.

Nimehamia kwenye bidhaa za mzungu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom