Msaada wadau nahisi kuingiliwa kwenye Google account yangu

Born1703

JF-Expert Member
May 17, 2020
586
1,000
Wadau habari za saa hizinatumai wazima wa afya kama kuna mgonjwa augue pole. Niende niende moja kwa moja kwenye mada yangu

Ni hivi yaani kila nkiingia kwenye Gmail yangu upande wa social naona sms kibao kutoka Facebook ya mtu mwingine tena kila siku mwanzo nilikuwa nafuta nikiziona lakini now ni too much nimejaribu kubadili password ya Gmail leo lakini nimewaza labda itajiautomatic mpaka kwa huyo anayetumia labda kwenye simu yenye acc yang nimewaza nilog out kwenye device zote nazohic au zitakazo kuwa na account yangu Sasa tatizo ndo hapo sijui jinsi ya kulog out na natumia simu bora ingekuwa computer kidogo ningeweza.

Naombeni msaada wenu asanteni.
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,857
2,000
Social media notifications ziko kwa yeyote aliyesajili kwa email hiyo, unaweza zuia tu, hizo notification kwenye email huko , ila hakuna aliyekuingilia.
 
Born1703

JF-Expert Member
May 17, 2020
586
1,000
Fungua hiyo ya msg facebook then unsubcribe,hautapata tena notifications...
Asante lakn pia nsaidie issue moja namna ya kulog out Kwny Mahal pote nlipowah kuingia maan nshapotezaga cm na nyngin nliuza bila kufuga acc yng
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,588
2,000
Kma kuna mtu amelogin kwenye Gmail yako ungetumiwa email.

Kuhusu wewe kutumiwa email inawezekana tu kuna spammer mmoja kapata email yako anakuchezea.

Mfano naweza pata email yako, nikaingia website fulani ikaniambia "enter email to subscribe labda newsletter ama chochote kile" baada ya kuweka email yangu na weka yako, makorokoro yote unatumiwa wewe badala yangu.
 
Born1703

JF-Expert Member
May 17, 2020
586
1,000
Na

Nafanyaje kulog out kwny sehemu zote then nbaki na hii ya kwangu
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,588
2,000
Na
Nafanyaje kulog out kwny sehemu zote then nbaki na hii ya kwangu
Maelezo yapo hapa

Login kwenye Gmail na computer Kisha chini kushoto utaona option ya ku sign out kote.
 
Born1703

JF-Expert Member
May 17, 2020
586
1,000
Maelezo yapo hapa

Login kwenye Gmail na computer Kisha chini kushoto utaona option ya ku sign out kote.
Tatizo natumia smart phone co computer Chief-Mkwawa
 
alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
905
1,000
Sasa tatizo zitakujaje kwangu notification
Inawezekana email account yako inafanana sana jina na email account ya huyo mtumiaaji mwingine, sasa wakati ataunganisha email account yake kwenye Facebook kakosea lakini aliyojaza katika makosa yake ni email account yako. Hii uwezako wa kwanza

Wa pili inawezwkana wewe ulimpa mtu simu yako akatumia Facebook na wakati alipoulizwa kuweka email account kwa sababu ya usalama Facebook ikapendekeza email account iliyo active kwenye hiyo simu, na yeye bila kujua anafanya nini akachagua kuendelea na pendekezo hilo hivyo email yako ikaunganishwa na Facebook account yake
 
Born1703

JF-Expert Member
May 17, 2020
586
1,000
Sa

Sawa je namna ya kulog out kwny sehemu zote nlizowah kuingia?
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,047
2,000
Sa
Sawa je namna ya kulog out kwny sehemu zote nlizowah kuingia?
Ingia settings, then chagua Google then Manage Account, then nenda sehem ya Security. Baada ya hapo utaona sehemu yenye devices, utachagua Manage devices kisha unaweza kuzitoa kwa kubonyeza vidoti vi3 then unachagua Sign Out.

Ona picha hapo chini
Screenshot_20210603-042028.png

Screenshot_20210603-042043.png
Screenshot_20210603-042210.png
Screenshot_20210603-042252.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom