Msaada wachawi wamekuja leo kuiba mahindi

Msaada wachawi wamekuja leo kuiba mahindi

Huu ni uongo . Kwanini watu huamini uchawi kiwango hichi
? Umewai kuona bank yoyote ikifanya ayo mazindiko .Barclays bank, BOT, ADB, WORLD BANK.CRDB , NMB ETC.
Nenda na uchawi wko bank Kama utaambulia kitu ,Ile sehemu acha Kama ikulu pale
 
Huku kwetu ukitaka kuanzsha familia hata kama utapanga chumba lazima utafute wataalamu wakufanyie mambo bila hvyo ndoo ya ujazo wa kg 18 za unga utaitumia kwa wiki moja au hata wiki haiishi mkiwa wawili,wewe na mkeo na Mtoto wenu mchanga
Ndugu yg yalionikuta Ni zaidi ya kusikia kwa mtu akiongea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom