Sali kwa imani yako. Omba dua/ Fanya maombi kabda yakulaa.
Na kama unaamua kutumia njia asilia (Mazindiko/kinga kuwa sirious na tafta mganga wa ukweli na jiandae kuwa unazindika kila baada ya muda flani. kuhusu dawa za kuonyeshwa sikushauli kwasababu:
1: Wachawi huwa hawakubari kushindwa hivyo ukiweka kinga wanajua then wataenda kukaa kikao waje na mbinu m badala ukiwaziwia tena wanaenda ngazi za juu kutafta msada kwamba kuna mtu anawasumbua na mwisho wa siku wanawaza kukudhuru na si kukusumbua2 au kukuibia km ilivyokuwa mwanzo (huwa wanavikao vya mtaa, kata, wilaya, mkoa nchi hadi Bara. ko wakikushindwa hatua moja wanaenda nyingne )
2: Kama huamini mambo hayo afu unaomba kinga unaweza kupewa dawa au kinga ambayo utajikuta umeingizwa kwenye maagano usiyoyajua na pia kila dawa na miiko yako ko huenda ukaja kukiuka miko ikaja kukukost mbeleni.
3: Kama umeshasema huamini mambo ya waganga inaonesha una chembe za imani ya dini hivyo kupitia kuoneshwa Dawa/ Kinga humu utajikuta umechanganya Imani na hivyo utakosa ulinzi Imara mana Dawa + Mungu =0. ko chagua kimoja ubaki nacho.