Kwa hio wanajambisha tu hawaibi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchawi mvivu sana huyo kwanini halimi, wekeni sumu ya magugu kwenye debe moja akija kuchota tena kesho mtasikia msiba mahali, ujue tayari
Nitasoma asante![]()
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza
Habarini za usiku huu Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya...www.jamiiforums.com
Hapana mdauMkuu utakuwa upo kigoma?
Sio hivoHuyo mzee ndiyo anataka kumpiga/ kumtapeli maana mteja kajiingiza mwenyewe kichwa kichwa.
AiseeHawezi kuiba vitu ambavyo sio chakula tu ila vyakula huwa wanaiba sana hasa mahindi na unga
Duukomoakomesha wafanye hivyo hivyo kama jina lako jinsi linavyosadisi
Inategemea.Wachawi hawawezi kuchota maindi kwenye sinia
Kwa sifa za wachawi nazo zisikia hawawezi kua na taalumu locally kama hiyo, wangeweza kuyavuta maindi kimadawa (remotely) wakiwa kwao
Hadi wachawi wanapiga kazi nao[emoji23][emoji23]Kaka nimefurahi !!! Nilisikia Anko Magu anasema Kila MTU apige kazii[emoji23][emoji23][emoji23]
Mijitu humu inazani chaiHayajakukuta mkuu!!mbona kwenye mazao ni kitu cha kawaida sana!!kuibiwa mazao yakiwa shambani/gharani!!nenda mikoa ya katavi , sumbawanga, ni michezo ya kawaida sana!!
mambo hayo yanahtaji Imani kama unaamini Yesu/Mungu hakika jambo hilo ni dogo sana, na zindiko lako kubwa ww kabidhi ulinzi kutoka kwa Yesu yaani unayaombea hayo Mahindi ili kusudi yazungukwe na ulinzi Wa Yesu Kristo.Nipo mkoani kuanza maisha mapya takriban mwaka mmoja Sasa . Usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane nilistuka usingizini nikasikia pale nilipohifadhi mahindi kwa ajili ya chakula mtu anayachota na kumimina kwenye sinia au ndoo ya chuma au sifuria, sikuamini ikabidi nijipe muda labda nisiwe nipo ndotoni. Ile Hali ikajirudia zaidi ya mara tano ikabidi nimwamshe wife kote huko kutafuta ushahidi kama niko sawa au naota
Naye kumbe alikuwa macho akaniambia anasikia ikabidi tuwashe tochi kufika pale tunapohifadhi mahindi hakuna mtu na mahindi yako kama tuluvoyaacha
Asubuhi ikabidi nimfuate mzee wa makamo nimuulizie kuhusu hili Jambo akaniambia mchawi alikuwa anachota mahindi Ila macho yetu hatuwezi ona kama yamepungua ila tunavyotumia yataisha mapema kuliko tunavotarajia.
Msaada jamani kwa anayefahamu jinsi ya kuzuia mchawi asichote chakula kwenye ghala langu.
Nakaribisha wote wachangie mawazo kwa aliye serious.
Kweli aiseemambo hayo yanahtaji Imani kama unaamini Yesu/Mungu hakika jambo hilo ni dogo sana, na zindiko lako kubwa ww kabidhi ulinzi kutoka kwa Yesu yaani unayaombea hayo Mahindi ili kusudi yazungukwe na ulinzi Wa Yesu Kristo.
Na ukisema uweke imani kwa hizo nguvu za Giza, hizo hazina mda mrefu na huwa zinaelemewa.
Na pia kwa macho ya kawaida lazma uone yapo vilevile lakn pindi unapozidi kuyatumia utayagundua kwa muda yatakaotumika kuisha
Kweli aiseeNdio ndg