Msaada wa wakili wa serikali kunitetea katika shauri la madai lililotokana na jinai. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa wakili wa serikali kunitetea katika shauri la madai lililotokana na jinai.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Morrison, Jul 27, 2012.

 1. M

  Morrison Senior Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana-Jf, nisaidieni. Je, naweza kupata msaada wa wakili wa serikali kunitetea katika shauri la madai katka mahakama ya rufaa ambalo lilianza kama jinai dhidi ya mrufani?
   
Loading...