wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,342
- Thread starter
- #81
Labda watsap yako inashida mkuu, bt vpn karibu zote zinafungua frshVPN gani inafungua whatsapp?, ufo, turbo, theunder, zote hazifungui
Labda watsap yako inashida mkuu, bt vpn karibu zote zinafungua frshVPN gani inafungua whatsapp?, ufo, turbo, theunder, zote hazifungui
NendaHow do you do that mkuu
Unachobisha nini..simu yangu storage ilikuwa low ,, hivo sijawah download vpn na nimetamba toka na baada ya uchaguzi kila sehemu Hadi jana naona wasap imekuwa nzito msg zinaingia ilansio kwa muda husika hadi nilivotumia built in vpn leoBila vpn wanakudanganya.
Soma maelekezo yote uelewe jibu lipo hapo hapo!Pre shared key ni nn tunajaza
Acha ujinga! Hiyo ni list ya IP address nimezi orodhesha hapo mtu achague yoyote inayomfaa mojawapo ajaze, nani kakwambia ujaze yote? Kama hujui kitu ni bora ufanye tu venye unajua wewe..yani ujaze yoooote haya???? shida yote ya nn? alafu ina ulinz kias gani? zama play store hapo pakua kitu ghafla
Acha ujinga! Hiyo ni list ya IP address nimezi orodhesha hapo mtu achague yoyote inayomfaa mojawapo ajaze, nani kakwambia ujaze yote? Kama hujui kitu ni bora ufanye tu venye unajua wewe..
....Kusoma hujui hata picha tu imekushinda tu ku interpret au ku judge ulichoandika...
sio kwamba simu Yako ndio inashida?VPN gani inafungua whatsapp?, ufo, turbo, theunder, zote hazifungui
Nenda
1.settings kwenye simu yako
2. Connection
3.more (more connection)
4. VPN
5. Add VPN
6. Jaza details Kama zinavyoonekana kwenye attachment
7. Kisha save
8. Chagua VPN uliyo icreate
9. Connect Kisha enjoy
MUHIMU: IPSec pre-shared key jaza vpn
Na password jaza vpn
Mtamm natumia Proton mwez wa nne sasa na sijawah lipia, ina option ya kulipa na free.. ukilipia unakua na location nyingi, ukiwa free zinapunguzwa.. so mm n free... inapiga kazi 24/7