Msaada wa VPN ambayo ni free na strong

Msaada wa VPN ambayo ni free na strong

Secure VPN. Stable and Fast na inajikata automatically ukiwa inactive baada ya muda flani mf. ukilala usingizi ukiamka inakuwa ipo off.
 
wakuu kwa wenye kujua VPN ya kutumia kweny Window OS ya free na nzur naomba msaada
Tafuta extensions za Psphon au Surf VPN zipo gOoGle huko... Au kwenye browser kama Opera mini na Mozilla Firefox zina extensions za VPN kibao tu..
 
Hapo mkuu mm natumia ya kwenye simu kudownload app simu inakuwa nzito na ma app yanajaa sana
 
Tafuta extensions za Psphon au Surf VPN zipo gOoGle huko... Au kwenye browser kama Opera mini na Mozilla Firefox zina extensions za VPN kibao tu..
ila opera si ina built in VPN kwanini asi install hio browser
 
mm natumia Proton mwez wa nne sasa na sijawah lipia, ina option ya kulipa na free.. ukilipia unakua na location nyingi, ukiwa free zinapunguzwa.. so mm n free... inapiga kazi 24/7
Hata mimi
 
Hata hapa wapo..
IMG_20201101_220512_634.jpg
 
Mkuu nielekeze nijaze nini hapa Times9 View attachment 1617941
Jazeni kama hivo kwenye screenshot, Sehemu ya password, username & shared-key jazeni neno moja tu [emoji116]

vpn


IP Address nyingine hizi hapa kama itagoma moja wapo unachange tu IP vingine unaacha kama vilivyo!

NB: Ukimaliza kuset SAVE kisha connect..

219.100.37.201

180 days

10 ms

Japan

219.100.37.169

180 days

25 ms

Japan

219.100.37.49

180 days

15 ms

Japan

219.100.37.5

180 days

8 ms

Japan

219.100.37.8

180 days

23 ms

Japan

219.100.37.54

180 days

19 ms

Japan

219.100.37.53

180 days

11 ms

Japan

219.100.37.123

180 days

18 ms

Japan

219.100.37.152

158 days

11 ms

Japan

219.100.37.206

180 days

17 ms

United States

161.202.144.236

26 days

1 ms

United States

198.13.36.179

4 days

1 ms

Japan

114.150.124.101

9 hours

4 ms

Viet Nam

117.4.155.102

19 hours

31 ms

Japan

114.177.211.20

View attachment 1617971

Screenshot_20201102-163328.jpg
 
Tatizo la hizi za kuseti Ip address kwenye simu na kusave halafu kuconnect ukizima data na ukiwasha inadai uconnect tena.
 
Tatizo la hizi za kuseti Ip address kwenye simu na kusave halafu kuconnect ukizima data na ukiwasha inadai uconnect tena.
Big mama iko poa hutajuta inawasha yenyewe ila ukiona funguo haijatokea badilisha nchi ,yani nakuambia hutajuta iko bomba sana.
 
Fanya setting ya VPN iliyokuwa ndani ya simu yako, kudownload third part app ni kosa kisheria.
 
Back
Top Bottom