Wazee! Hii kitu requests zimekua mingi sana PM! Kuepusha jam nitaelekeza hapa hapa namna ya ku configurate profile ya in-built vpn ya simu yako muda sio mrefu ili kila mmoja aweze kufanya mwenyewe...
.....Hii haihiitaji ku install VPN app yoyote na pia haichemshi simu kama zilivyo zingine! Iko stable no disconnections za mara kwa mara na faida zingine nyingi utaziona mwenyewe ukianza kutumia!
.....NOTe! Matumizi ya VPN yasikufanye ukiuke sheria za nchi yetu na uharifu wa kimtandao, tumia kwa sababu maalumu tu unapolazimika kufanya hivyo kama ilivyo sasahivi hiki kipindi cha internet censorship!
View attachment 1617393View attachment 1617394