Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

Sasa hivi nunua ile ya kuanzia 2010. Ni vizuri gari used ununue yenye chini ya miaka kumi au chini ya km100,000(70k itapendeza)
Hizi Tdi 3.0 za 2010 ambazo nadhani ni thrid generation ya toureg ninkali sana tatizo bei yake imechangamka sana inaelekea 50+m huko, yaani haipishani na discovery. SA pia wanazo sana sema used in africa ni hatari


Sasa hivi nunua ile ya kuanzia 2010. Ni vizuri gari used ununue yenye chini ya miaka kumi au chini ya km100,000(70k
Sasa hivi nunua ile ya kuanzia 2010. Ni vizuri gari used ununue yenye chini ya miaka kumi au chini ya km100,000(70k itapendeza)
 

Attachments

  • 20210312_203315.jpg
    20210312_203315.jpg
    41.4 KB · Views: 32
  • 20210312_203254.jpg
    20210312_203254.jpg
    44 KB · Views: 29
Naikubari sana hii gari,nimeifatilia kwa kiasi furani ila nilishauliwa na mtaalam mmoja ni fundi mzuri sana wa Europian car alisema ukitaka hii gari nunua ya petrol,alidai ya diesel inasumbua sana.So fanya hivyo chukua ya petrol
Hakukueleza inasumbuaje?
 
Nina rafiki zangu wawili wanazo hizi. Zote ni 3.0TDi zimetoka UK. Moja DDV ingine DFP mpaka hivi ninavyoongea zinatembea. Wanachobadili sana ni bushes,tie rod ends,rack ends,links kwasababu ya barabara zetu ila upande wa engine na gearbox hamna tatizo wamewahi kupata. Sasa jiulize DDV ni ya lini halafu angalia comment za watu ambao VW wanaziona tu zikipita barabarani.

Mimi nilinunua hii gari like five years ago. Imported from UK. Less than 40k KMs.

Ni gari moja nzuri sana. Comfort yake usipime. Nimeshaenda nayo Mwanza mara tatu. Nairobi mara mbili. Arusha mara mbili.

Ingawa watu humu wanasema diesel inasumbua, gari yangu ni diesel. And I enjoy it every passing day. Nikiwa barabarani...najisikia naendesha gari kweli kweli.

Kikubwa hii gari inahitaji proper service. Mimi yangu inaenda kwa dealer kila baada ya miezi kadhaa. Na hii gari naendesha mwenyewe. Haiendeshwi na yoyote. Dereva anaikamata nikiwa naye..kama ni safari ya masafa!

Kwa comfort ya hii gari sijui kama naweza kumrudia Mjapani.

Najipanga kurudi Europe!!.
 
Kununua VW iliyotembea zaidi ya km 100000 ni kujitafutia magonjwa ya moyo tu
vw cars hazisumbuagi kabisa, mimi natumia sedan vw nimenunua in 2011 mpya, mpaka leo haijawai sumbua, nimebadili spark plugs only mara moja na tairi.Naishi china uenda labda kwa kua barabara ni nzuri, ila generally speaking germany cars ni imara sana.
 
vw cars hazisumbuagi kabisa, mimi natumia sedan vw nimenunua in 2011 mpya, mpaka leo haijawai sumbua, nimebadili spark plugs only mara moja na tairi.Naishi china uenda labda kwa kua barabara ni nzuri, ila generally speaking germany cars ni imara sana.
Huko unakoishi njia nzuri, mafundi wanaozijua vw wapo,spare parts zinapatikana bila shida na la mwisho hiyo gari ulinunua mpya.
 
Naomba niufunge uzi wako kwa majibu konki haya hapa

VW Touareg


VW Touareg huyu ni moja kati ya wanyama adimu sana barabarani ila maajabu yake mpk thailand wanayasimulia ,umbo la gari hii ni mid-sized SUV uzalishaji wake ulianza mapema sana miaka ya 2002 gari hii iliumdwa kuleta heshima ya sokoni ambapo kwa muda mrefu voxwagon walihic kama kupotea wakaja na chuma ambacho kilitamba sambamba na BMW na Mercedes gari hii ukiendesha ni kama sport car upande wa sokoni inashindana na BMW X5, Mercedes M-Class, Porsche Cayenne, Audi Q7, Range Rover Sport na Volvo XC90

Umbo la gari ni SUV

Extras:panoramic Sunroof, Roof Rails

Safety Features:ABS, Dynamic Light Assist, ESC, HBA, ICRS, Lane Assist, LATCH, Side Scan, SRS Airbags, Traction Control

Exterior Features:Alloy Rims, Automatic Tailgate, Fog Lights, Twin Exhaust

Interior Features:Bluetooth Connectivity, Heated Seats, Heated Steering, Memory seats, USB Charging Ports


MAELEZO

VW Touareg ni gari ambayo ni five seater luxury SUV , ambayo uzalishaji wa gari hili umedumu kwa three generations kuanzia mwaka 2002 hadi leo t. It’s chii gari inafanana sana Porsche Cayenne ,na Audi Q7 ambayo zinachangia platform ambayo inajulika kwa jina la E-Platform.

first generation uzalishaji wake ulianza mwaka 2002 hadi 2010,

second generation uzalishaji wake ulianza mwak 2010 hadi 2018

third generation ilianza mwaka 2018 hadi leo


ENGINE


gari hii inakjja na machaguo manne 4 engine ambayo ni 4.2L V8, 340 PS diesel engine,

3.0L V6, 204 PS Clean Diesel engine,

a 3.0L V6, 245 PS Clean Diesel engine

3.0L V6, 333 PS hybrid petrol engine.


TRANSMITION

8-speed Automatic Transmission na inapatikana kwa chaguo pekee la 4WD.


KWENYE GRADE


VW Touareg SE – Toleo hili level grade linakuja ma machaguo kadha aya engine ambayo ni 3.0L V6 204 PS Diesel engine or the 3.0L V6 245 PS Diesel engine, 18-Inch alloy rims, silver roof rails, halogen reflector lens foglights, bi-Xenon high intensity headlights with Adaptive Front-Lighting Systems(AFS), LED Daytime Running Lights, Climatronic dual-zone automatic climate control, leather multi-function steering wheel, premium color multi-function instrument cluster display, four 12V power outlets, 115V power outlet, remote operated power tailgate with closing assist and comfort opening cargo cover, HomeLink, V-Tex leatherette seating surfaces, black high-gloss center console and trim surrounds, power heated front seats, heated windshield washer nozzles, Bluetooth with audio streaming, RCD-550 sound system with 6.5″ color touchscreen in center console, HD Radio SD memory card reader, AUX-in for portable audio players, SiriusXM Satellite Radio, 8 speakers, Electronic Stability Control (ESC) and Tire Pressure Monitoring System (TPMS)


VW Touareg Altitude – This comes with all the features of the SE grade plus: RNS-850 navigation system with 8″ color touchscreen in center console, rearview camera, 60GB hard drive, 3D landmarks, CD/DVD player with advanced audio converting and SiriusXM Traffic


VW Touareg Escape – Toleo hili linakuja na features of the Altitude grade plus: 19″ Everest alloy rims, panoramic power sunroof, heated power-adjustable side mirrors with memory, walnut interior trim and center console with metallic trim surrounds, Vienna leather seating surfaces, 12-way power driver’s seat with memory and power-adjustable lumbar support and electric rear seat release located in rear cargo area



VW Touareg Altitude V8- Toleo hili linakuja na Escape grade plus the 4.2L V8 Diesel engine, 20″ Pikes Peak alloy rims, heated multi-function steering wheel, heated rear seats, keyless access with push-button start, vavona wood interior trim and center console, Park Distance Control (PDC) with front and rear proximity sensors and Dynaudio premium sound system.


VW Touareg Hybrid – Toleo hili ni funga kazi features of the Altitude grade plus: the 3.0L 380-hp hybrid engine, 19″ Everest alloy rims, panoramic power sunroof, LED taillights, heated multi-function steering wheel, heated rear seats, heated power adjustable side mirrors with memory, power-adjusting steering column with memory, keyless access with push-button start, Park Distance Control (PDC) with front and rear proximity sensors, vavona wood interior trim and center console with metallic trim surrounds, Vienna leather seating surfaces, 12-way power front seats with driver and passenger memory and power-adjustable lumbar support, metal scuff plates on door sills and aluminum appearance pedals


VW Touareg Interior

Upande wa ndani utaangalia katika picha imepangiliwa vizuri usanifu wakutosha ….viti viko safi sana lakini pia wamejitahidi kuweka cubin storage sehemu mbali mbali kwa uchache ndiyo hivyo


Safety Features: Electronic Stability Contro(ESC), Antilock Braking System(ABS), Hydraulic Brake Assist(HBA), a comprehensive Airbag system, Intelligent Crash Response System(ICRS), LATCH, Traction Control, Side Scan, Dynamic Light Assist, Lane Assist


UPANDE WA MAFUTA

ukiwa na gari za kijerumani hata ikiwa na cc kubwa hamna haja ya kuumiza kichwa mafuta huwa zinanusa tu ….


VW Touareg 3.0L 204 PS Diesel fuel inatumia: km 17.2 kwa lita 1


VW Touareg 3.0L 245 PS Diesel fuel inatumia km 16.7 kwa lita 1


VW Touareg 4.2L 340 PS Diesel fuel inatumia km: 13.1 kwa lit 1


VW Touareg 3.0L 333 PS Petrol Hybrid fuel inatumia km 14.6 kwa lita 1


Acceleretion

Hapa huwa wanafunziwakomavu ndio hunielewa ila wengine endeleeni kusubiri


2013 VW Touareg 3.0L 204 PS Diesel accelerates inatoka 0-100 km/h in 8.5 sec.


2013 VW Touareg 3.0L 245 PS Diesel accelerates inatoka 0-100 km/h in 7.6 sec.


2013 VW Touareg 4.2L 340 PS Petrol accelerates inatoka 0-100 km/h in 5.8 sec.


2013 VW Touareg 3.0L 333 PS Petrol Hybrid accelerates inatoka 0-100 km/h in 6.5 sec



VW Touareg Fuel Tank Capacity:hiii gari bwana ina bonge la tank ni mshahara kabisa wa mtu take home ...haihitaji ubabaishaji wala mafuta ya vibaba mafuta ya sh 10,000, hadi 30,000 gari haiwaki mstari unakuwa upo kwa Low sana tank lake lina beba mafuta 100 Litres


VW Touareg Stability and Handling


Hapa huwa napenda kueleza kwa lugha ya mkoloni ili maswali yawe machache maana ukitaka kuficha mwafrica ujumbe uweke kwenye lugha hii


The VW Toureg is a powerful car that accelerates fast and handles the road like a sports car. The automatic self-leveling and height adjustment, along with the speed related CDC (Continuous Damping Control) gives it amazing stability around corners even at high speed. The Air Suspension system enables the driver to select either Normal, Sport or Comfort settings, depending on the style of drive required. In the Normal mode, the suspension is adjusted for on road driving and the throttle response is dulled for fuel economy. The Comfort mode is ideal for driving on uneven roads where it softens the suspension to dampen shock. The sport mode offers precise throttle response and also raises the ground clearance by 300 mm when on unpaved roads



.Service Intervals

Minor Service: At 5,000 km. Requires Air Cleaner, Oil Filter, and Engine Oil


Major Service: 10,000km. Requires Air Cleaner, Oil Filter, Fuel Filter, ATF Filter, Cabin Filter, Plugs, Front Brake Pads, Rear Brake Pads, ATF Oil, and Engine Oi


Kwa nini ununue hii gari

1. Powerful Engines

2. Comfortable and Spacious Interior

3. Exceptional build quality


Nisichopenda

Spare parts zake ni mkasi sana unaweza kuugua mpk madonda ya tumbo


Mwisho

Kama unafikiria kutoka kitofauti bac usiishi kwa kukariri karibu katika huyu mnyama uone utofauti sio kama timu x unaendesha gari utadhani unaendesha toroli ,jaribu hii chuma hutatamani kurudi huko kwenye bodi za karatasi ...ni gari nzuri kama ukizingatia mashariti haiwez kukuzingua kabisa
Kwa lugha nyepes tourage ina fuel consumption nzur kuliko ist au mm ndi nimeelewa vibaya
 
Back
Top Bottom