Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

Kilahunja

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
1,502
341
1602043214280.png

volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

Wakuu poleni na majukumu, nataka kununua hii gari hivyo naomba ushauri wenu kwenye haya mambo.

1. Matumizi ya mafuta(inatumia lita ngap kwa km).

2. Upatikanaji wa vifaa vyake vya kufanyia service ( diesel filter na oil filter ) ikiwezekana na bei yake.

3. Upatikanaji wa mafundi (arusha na Dar).

4. Upatikanaji wa vipuli.

5. Je ina magonjwa ya mara kwa mara.

6. Uimara wake kwa ujumla.

Wapendwa msaada wenu kwangu ni muhimu sana ili kukamilisha jambo hili.

Nawatakia usiku mwema wapendwa
 
Naikubari sana hii gari,nimeifatilia kwa kiasi furani ila nilishauliwa na mtaalam mmoja ni fundi mzuri sana wa Europian car alisema ukitaka hii gari nunua ya petrol,alidai ya diesel inasumbua sana.So fanya hivyo chukua ya petrol
 
VW toureg ni gari moja nzuri kulingana na matumizi yake tu,vipuri vyake ni genuine ila kaskazini kuvipata kwa urahisi na uhakika Nairobi vipo kwa dar sijui
Kuhusu mafuta ina utumiaji mzuri
 
Naikubari sana hii gari,nimeifatilia kwa kiasi furani ila nilishauliwa na mtaalam mmoja ni fundi mzuri sana wa Europian car alisema ukitaka hii gari nunua ya petrol,alidai ya diesel inasumbua sana.So fanya hivyo chukua ya petrol
NASHUKURU KWA USHAURI WAKO, HUYO FUNDI ALIKWABIA ZINASMBUA NINI
 
Niliendesha hili gari (test drive) 2018
Kwa kweli katika SUV hii ni kiboko
Kuanzia nguvu mpaka ilivyotulia barabarani
Kama kuna undugu baina ya gari na barabara basi hawa ni ndugu kabisaaa
Break system yake ni nzuri sana hata kwenye barafu au matope ni kunusa tu, pia ukifunga madirisha husikii kelele zozote
Kwa kweli ni gari nzuri Kwa familia
 
VIPI UPATIKANAJI WA SPEA , ULAJI WA MAFUTA PAMOJA NA MAFUNDI
 
Spare utapata chief ,karne ya 21 hii unaagiza online mzigo unakufikia ndani ya siku 3 toka sehemu yoyote duniani. Ikisumbua usipeleke kwa mafundi wa chini ya mwembe,peleka kwa watu wanao deal na German cars. Pia usinunue ya diesel tafadhali kwani itakutesa.
 
Back
Top Bottom