Wako kwenye fashion shoo ya kutafuta vazi la taifa.
wana jf naomba misaidie. Huyu mama aliye na mkuu wetu wa nchi kwenye red carpet ni nani na ana wadhifa gani?? Msaada tafadhali
View attachment 52592
uMESHAAMBIWA NI MBUNGE WA VITU' MAALUM
Huyo ni Catheline Magige mbunge wa viti maalum Arusha.
Aise mambo ni mengi sana ya kujiuliza. Alafu kitu ambacho nimekigundua wabunge wa kuteuliwa wa CCM wengi ni vijana na wazuri mno. Sasa sijui kuna intention gani katika hilo ccm!
....megik.are u blind my dear,that is salma kikwete or u dont know her?
Another mama mdogo au mkipenda - another 4th, 5th, 6th ..., I mean xth First Lady. Someone sung, "Tunatesa kwa zamu"
ANGUKA..ARI,NGUVU NA KASI ZAIDI..kwani yeye Mungu hadi ajue matatizo yetu! Jk uko juu..wakwere 2poo!! Bora mie nliopo msoga nakula zangu mihogo..wera jk
Huyo ni Catheline Magige mbunge wa viti maalum Arusha.