Msaada wa ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ushauri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ALF, Oct 9, 2012.

 1. ALF

  ALF Senior Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Habari za kazi ndugu, naombeni ushauri nimekuwa ninashida generator lenye 5.5 KV but mfuko wangu hauruhusu kununua product mpya kama KAMPUNI ya honda. Hivyo nimekuwa nikizunguka sana madukani kupata generator bora liwe jipya au used.kutoka Japan lakini wala mkubwa ni bei 5KV -6KV yanasimama 2.8Mill mpaka 3Mill huku mimi uwezo wangu ni 1.7mill, katika pitapita wangu madukani nilifika Game pale mlimani city nikakuta generator aina ya Robby la 5.5KV la petrol litauzwa 1.5mill na warant ya mwaka mmoja, na kariakoo barabara ya uhuru mkopo wa kulia kama unaelekea nazi mmoja kuna duka litauza product za LG na BOSS wana generator aina ya BOSS 5.5KV wanauza 1.4mil ila warant.

  Pia kuna jamaa mmoja wanauza generator used from Japan aina ya yanmary 5.9 KV anauza 2.8mil ni kama jipya ni diesel.

  Naomba ushauri wenu Kwa aliyewahi kutumia au mwenye ujuzi wa magenerator.

  Asanteni.
   
Loading...