Msaada wa ufahamu wa simu ya Nokia 6 au 7 mliopata kuitumia

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,204
3,308
Wadau poleni na majukumu ya siku,

Naombeni maarifa juu ya simu ya Nokia 6 kama ni nzuri na upungufu wake , nimepata kufikilia kuinunua ila naombsni msaada wenu kwanza hela yangu nisije nikaizika bule kwa usawa huu wa vyuma mkazo!!
 
Kuna jamaa nimeona anaiuza bei chee yupo kino ina 4gb Ram 64 GB finger print 4G network
 
Nokia 6 ipo vzuri ukilinganisha na simu kampuni zingne ambazo zipo ktk range ya Mid.
16mp za camera ya nyuma
8mp za selfie
Internal ni 32/64
Ram ni 3/4
Speed ya net ni 4G. Mimi ninayo used nauza 400k tu. Bado kama mpya ble
 
Nokia 6 ipo vzuri ukilinganisha na simu kampuni zingne ambazo zipo ktk range ya Mid.
16mp za camera ya nyuma
8mp za selfie
Internal ni 32/64
Ram ni 3/4
Speed ya net ni 4G. Mimi ninayo used nauza 400k tu. Bado kama mpya ble
Weka kapicha
 
hizo hapo
 

Attachments

  • 20180104_110403.jpg
    20180104_110403.jpg
    112.9 KB · Views: 23
  • 20180104_110410.jpg
    20180104_110410.jpg
    98.5 KB · Views: 54
  • 20180104_110444.jpg
    20180104_110444.jpg
    121.1 KB · Views: 50
Back
Top Bottom