BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 910
- 2,164
Kila mtu ana dream yake
Muda mrefu saana niliona nyumba mbali mbali walizojenga watu lakini kiukweli hazikunishtua mshipa ht kidogo
Sasa hivi karibuni tiktok niliona jengo fulani simple...ghorofa moja (hili kwakweli ilinipa hisia ya kuwa lazima nijenge kama hivi...japo kuna marekebisho kidoogo ntafanya).
Sasa naomba kupata mawazo yenu
1. Msingi wa ghorofa unatakiwa uweje
2. Kiwanja husika kinatakiwa kiwe kwenye hali gani
Naomba msaada wenu
Video