Serikali idara ya ardhi for that matter, hutenga na kupanga matumizi ya ardhi ie maeneo maalum ya ardhi kwa shughuli kama viwanda, masoko, makazi, kanisa/misikiti/cemetries etc etc.
Wanafika kwenye eneo la mtu na kupanga matumizi hayo, then wanaondoka bila kulipa fidia. Na wakisha yatenga namna hiyo mwenye ardhi huwezi kufanya lolote nje ya matumizi hayo na wewe huna uwezo wa kuweka hayo matumizi ya ardhi waliyo ya ainisha.
SWALI: Sheria inamlinda vipi mwenye ardhi kwa Idara ya ardhi kutenga maeneo yake bila kumpa fidia?