Rico redi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 163
- 312
Kwema wakuu nimekua na changamoto ya mkojo unakua unaambatana na hali ya kuchoma choma na pia wakati wa sex inatoka vitu kama uchafu hivi ni tatizo la muda sana nimechoma powerself mara 2 wakati natumia inakata nikimaliza ti dose inajirudia
Pia nimemeza mchanganyiko wa metronidazole,Cipro na doxy na yenyewe nikamaliza dose
Mwenye anafahamu tiba hata ya asili msaada make inafikia Kuna wakati nikipiz inaambatana na damu
Pia nimemeza mchanganyiko wa metronidazole,Cipro na doxy na yenyewe nikamaliza dose
Mwenye anafahamu tiba hata ya asili msaada make inafikia Kuna wakati nikipiz inaambatana na damu