Mi ni me
Tatizo limeanza mwaka Jana nikachoma sindano za powercef likaacha kama wiki baada ya hapo likajirudia na dalili kubwa hapa ni mkojo unakua kama unachoma hiivi huo uchafu unakuja tu pale ambapo nakua kama najichua ndo unatokea otherwise hautokei
Hapana sina tatizo lolote linaloshusha Kinga ya mwili na hata kuugua kawaida Nina zaidi ya miaka 3 sijawahi kupata hata homa
Mara ya mwisho kabisa nimetumia dose ya dawa za kumeza ilikua ni doxy, metronidazole na Cipro
Ila kabla ya hizi dawa nilichoma Tena full dose ya powercef ko powercef nimechoma mara 2 mfululizo full dose Kwa vipindi tofauti
OK sawa mkuu, shida iliyopo hapo ni kutokutumia dawa bila kufuata mtiririko ulio sahihi au kutokutoa maelezo yaliyo sahihi kwa daktari au kununua dawa kiholela huko mitaani,
Hiyo doxy, metro na cipro hata unywe gunia lote huwezi kupona, kwa sababu uliaza na dose kubwa ( powercef) kisha ukaludi kwenye dose ya chini.
1. Hakikisha unamtibu na mchumba wako before kuludiana tena, kama wapo wengi tumia kinga tafadhali,
2. Tufanye management ifuatayo ili kuondoa hiyo resistance iliyo tokea kulingana na kutofuata mtiririko sahihi wa matibabu.
Rx
. Tabs Azithromycin 2gm( 4tabs) start
. Injection ceftriaxone
I/M 4ml start, follow dilution protocol 1gm powder of ceftriaxone mix with 4ml of H²0 for injection.
NB:
1. Make sure unakula unashiba kisha tumia hiyo dose, na ulete feedback hapa jukwani ☺️☺️☺️.
2. Zingatia dose kama nilivyo andika