Msaada wa U.T.I sugu

Msaada wa U.T.I sugu

Kuna dawa ya kienyeji/asili inatobu UTI sugu wanauza watu wanitwa EDEN hapa kahama. Nimewahi kuitumia wakati nilisumbuliwa na tatizo hilo kwa zaidi ya wiki 4, nilitumia ceftrioxone, ciprofloxacin na amoxiclav zote zilishindwa

Ukihitaji nitachukua namba yao nikupe, bei ya dawa yao ni sh 15,000 tu
Msaada wa no zao tafadhali
 
Swali namba tatu ni la muhimu sana lkn umepuuzia kulijibu bado utapata thabu sana ktk hii insu!!
Asante mkuu ila wakati napata hiyo changamoto nilikua mkoa mwingine na huyo mtu alikua mkoa huo sijakutana nae zaidi ya miezi 9 Sasa na nje na hapo hua natumia condom mkuu
 
Inawezekana imekuwa sugu, kutokana na kujitibu kisha kurudi kwa mahusiano yale yale bila yeye kutumia dozi; Kuna dawa za vidonge inaweza kukusaidia, ila jitahidi kujitenga na mahusiano/tendo angalau miezi 3 mpaka upone kabisa.
Msaada Niko tayari ndg
 
Mi ni me

Tatizo limeanza mwaka Jana nikachoma sindano za powercef likaacha kama wiki baada ya hapo likajirudia na dalili kubwa hapa ni mkojo unakua kama unachoma hiivi huo uchafu unakuja tu pale ambapo nakua kama najichua ndo unatokea otherwise hautokei

Hapana sina tatizo lolote linaloshusha Kinga ya mwili na hata kuugua kawaida Nina zaidi ya miaka 3 sijawahi kupata hata homa

Mara ya mwisho kabisa nimetumia dose ya dawa za kumeza ilikua ni doxy, metronidazole na Cipro

Ila kabla ya hizi dawa nilichoma Tena full dose ya powercef ko powercef nimechoma mara 2 mfululizo full dose Kwa vipindi tofauti
OK sawa mkuu, shida iliyopo hapo ni kutokutumia dawa bila kufuata mtiririko ulio sahihi au kutokutoa maelezo yaliyo sahihi kwa daktari au kununua dawa kiholela huko mitaani,

Hiyo doxy, metro na cipro hata unywe gunia lote huwezi kupona, kwa sababu uliaza na dose kubwa ( powercef) kisha ukaludi kwenye dose ya chini.

1. Hakikisha unamtibu na mchumba wako before kuludiana tena, kama wapo wengi tumia kinga tafadhali,

2. Tufanye management ifuatayo ili kuondoa hiyo resistance iliyo tokea kulingana na kutofuata mtiririko sahihi wa matibabu.

Rx
. Tabs Azithromycin 2gm( 4tabs) start
. Injection ceftriaxone I/M 4ml start, follow dilution protocol 1gm powder of ceftriaxone mix with 4ml of H²0 for injection.

NB:
1. Make sure unakula unashiba kisha tumia hiyo dose, na ulete feedback hapa jukwani ☺️☺️☺️.

2. Zingatia dose kama nilivyo andika
 
Bahati mbaya Niko mwanza ndg
Angalia sana. Mara nyingi wanaume hawapati UTI kama hosptal za bongo zinavyodai. Na ukiona unaugua mara kwa mara basi onana na dr na kufanya vipimo kabla hujameza dawa. UTI kwa mwanaume inaweza kuwa ni dalili ya tatizo jingine kubwa zaidi kwenye mwili wako.
 
A

2. Zingatia dose kama nilivyo andikaas

Ubarikiwe mkuu
 
Angalia sana. Mara nyingi wanaume hawapati UTI kama hosptal za bongo zinavyodai. Na ukiona unaugua mara kwa mara basi onana na dr na kufanya vipimo kabla hujameza dawa. UTI kwa mwanaume inaweza kuwa ni dalili ya tatizo jingine kubwa zaidi kwenye mwili wako.
Sawa ntazingatia
 
Back
Top Bottom