Msaada wa U.T.I sugu

Msaada wa U.T.I sugu

Kwema wakuu nimekua na changamoto ya mkojo unakua unaambatana na hali ya kuchoma choma na pia wakati wa sex inatoka vitu kama uchafu hivi ni tatizo la muda sana nimechoma powerself mara 2 wakati natumia inakata nikimaliza ti dose inajirudia

Pia nimemeza mchanganyiko wa metronidazole,Cipro na doxy na yenyewe nikamaliza dose
Mwenye anafahamu tiba hata ya asili msaada make inafikia Kuna wakati nikipiz inaambatana na damu
Hii issue Yako ungefanya vipimo kwanza..

By the way.. Kuna brother mmoja amenishukuru Leo ni story ndefu ila to cut story short...

Nili mpa CEFIXIME 400MG TABS 10'S AKATUMIA PAMOJA NA CITAL LIQUID now mkojo unatoka mweupe amepona..

Mkewe alikua na P.I.D SUGU nae Baada ya ultra sound pia nili mpa CLINDAMYCIN 300MG CAPS na ORNIDAZOLE 500MG TABS AKATUMIA PAMOJA now case imekwisha..
 
Zingatia mambo makuu mawili:-
1. Nakushauri utafute hospital yenye kipimo cha kuotesha mkojo (Culture & sensitivity), hii itabaini aina ya bakteria wanaokusababishia UTI na itatoa suluhu ya dawa mahususi ya kuua bakteria hao.
2. Hakikisha mwenza wako anapata vipimo ili uwe unashiriki ngono salama au ujiuepushe na mazingira yanayoweza kukusababishia maambukizi ya kujirudia kama vile usafi wa mwili, mavazi na mazingira.

MUHIMU ZAIDI: Epuka matumizi holela ya dawa kwani yatakusababishia Usugu wa vimelea dhidi ya dawa.

Usipopona kwa mambo haya mawili urudi hapa nikusaidie jambo jingine.
ASANTE
 
Kwema wakuu nimekua na changamoto ya mkojo unakua unaambatana na hali ya kuchoma choma na pia wakati wa sex inatoka vitu kama uchafu hivi ni tatizo la muda sana nimechoma powerself mara 2 wakati natumia inakata nikimaliza ti dose inajirudia

Pia nimemeza mchanganyiko wa metronidazole,Cipro na doxy na yenyewe nikamaliza dose
Mwenye anafahamu tiba hata ya asili msaada make inafikia Kuna wakati nikipiz inaambatana na damu
Mkuu UTI kwa dawa za hospitali utamaliza karibu zote sio rahisi kupona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Hii issue Yako ungefanya vipimo kwanza..

By the way.. Kuna brother mmoja amenishukuru Leo ni story ndefu ila to cut story short...

Nili mpa CEFIXIME 400MG TABS 10'S AKATUMIA PAMOJA NA CITAL LIQUID now mkojo unatoka mweupe amepona..

Mkewe alikua na P.I.D SUGU nae Baada ya ultra sound pia nili mpa CLINDAMYCIN 300MG CAPS na ORNIDAZOLE 500MG TABS AKATUMIA PAMOJA now case imekwisha..
Uzi ulipaswa kufungwa hapa ulipotaja tu Cefixime nimefahamu unajua dawa
 
Mkuu UTI kwa dawa za hospitali utamaliza karibu zote sio rahisi kupona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
Atumie mzizi gani ili apone wa mlonge au wa mnyonyo au akate mzizi wa mkomamanga asage anye na mchemsho wa maji ya mwarobaini siku 14 atapona?
 
Unapotumia dawa hakikisha hauubani mkojo( kukaa na mkojo kwa muda mrefu).

Usikojoe kwenye kopo usiku.

Kila ukikojoa hakikisha umejisafisha vizuri.

Mwenzi wako apate matibabu pia.

Pima kipimo Cha culture and sensitivity

Kunywa maji ya kutosha, tumia dawa muda sahihi siyo Leo umemeza saa mbili asubuh kesho unaweza saa Tano asubuhi,utafeli mwisho wake utakujoa mkojo kama mtindi wa maziwa.
 
Uzi ulipaswa kufungwa hapa ulipotaja tu Cefixime nimefahamu unajua dawa
Na deal na haya mambo ndugu yangu..

Dawa zipo nyingi sana sana Kuna dawa kama ceftriaxone injection currently inadunda kwa wengi hata azithromycin inadunda.
 
Uzi ulipaswa kufungwa hapa ulipotaja tu Cefixime nimefahamu unajua dawa
Sio sababu ya kufunga uzi, ktk maelezo yake ana historia ya kutumia powercef. Powercef ni ceftriaxone ambayo ni the same na hiyo cefixime.
Kaeleza powercef ilimsaidia kwa siku kadhaa so hata hiyo cefixime kama atatumia pekeyake bila kumtibu mwenzie bado atarudi hapa kulalamika ana u.t.i sugu.
 
sie waganga wa mizizi na spirits tutakushauri mwishoni au sio..
 
Mkuu dawa ni maji tu baaasi.
Hakikisha kwa siku unakunywa lita 2.8 mpka lita tatu
 
Back
Top Bottom