Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 4,731
- 3,174
Wale waloapply SUA (online application) vp akaunti zenu ukitaka ku log in nanyi zinaonesha hivyo, kwa walokuwa selected na ambao wameomba awamu ya pili? please tujuzane jamani.
vipi tatizo umelimaliza hata mimi naambiwa username blockedWale waloapply SUA (online application) vp akaunti zenu ukitaka ku log in nanyi zinaonesha hivyo, kwa walokuwa selected na ambao wameomba awamu ya pili? please tujuzane jamani.
Bado mkuu, sijui hili litakuwa ni tatizo la watanzania wote.vipi tatizo umelimaliza hata mimi naambiwa username blocked
Naomba process ili niweze kulog in katika account suahata mm blocked.
https://suasis.sua.ac.tz/index.php/loginNaomba process ili niweze kulog in katika account sua
inawezekana mkuuwakuu yawezekana ndo wamesha tuondoa katika orodha yao nn?
Acheni papara.inawezekana mkuu
kivipi tuacheAcheni papara.
Mara nyingi tu nikiwa na shida kwenye suasis yanguhuyo muhusika mkuu uliongea nae??
Wengine mpaka saa hii bado username blocked mkuu.Jaribuni kulogin tena,mimi nimeingia leo this time na nakutana na Congratulation and Print Admission Letter and Joining Instruction.Ni baada ya kuwa toka juzi iliandika Username Blocked.Hivyo ni kweli wameshafanyia kazi second round