Msaada wa tatizo la SUASIS-User name blocked

Jaribuni kulogin tena,mimi nimeingia leo this time na nakutana na Congratulation and Print Admission Letter and Joining Instruction.Ni baada ya kuwa toka juzi iliandika Username Blocked.Hivyo ni kweli wameshafanyia kazi second round
mkuu vipi wewe wamekwambia umechaguliwa course gani??
 
Jaribuni kulogin tena,mimi nimeingia leo this time na nakutana na Congratulation and Print Admission Letter and Joining Instruction.Ni baada ya kuwa toka juzi iliandika Username Blocked.Hivyo ni kweli wameshafanyia kazi second round
U mean right now iko sawa [emoji50][emoji50]
 
Back
Top Bottom