Msaada wa tatizo la SUASIS-User name blocked

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,720
3,163
Wale waloapply SUA (online application) vp akaunti zenu ukitaka ku log in nanyi zinaonesha hivyo, kwa walokuwa selected na ambao wameomba awamu ya pili? please tujuzane jamani.
 
vipi tatizo umelimaliza hata mimi naambiwa username blocked
 
Muhusika mkuu wa haya mambo hapa sua anaitwa Mr.mkwazi namba yake ni 0712786645 ukimweleza shida yako fasta anakutatulia usiulize nimeijuaje mm mwenyewe m
wanafunzi wa Sua wakuu
 
Jaribuni kulogin tena,mimi nimeingia leo this time na nakutana na Congratulation and Print Admission Letter and Joining Instruction.Ni baada ya kuwa toka juzi iliandika Username Blocked.Hivyo ni kweli wameshafanyia kazi second round
 
Wengine mpaka saa hii bado username blocked mkuu.
 
Back
Top Bottom