Ahsante mkuu,Simple
1. Bonyeza *#06# kupata IMEI ya simu husika.
2. Tuma iyo IMEI kwenda 15090 buree.
3. Subiri majibu, itakwambia brand ya simu na model yake.
Ahsante mkuu,
Ila kuna jamaa kanitisha eti hata feki sikuizi zinakubali úkituma hizo imei tcra.
Jé, hili lina Ukweli?
Shuleni ,umenipatia mwangaNi kwamba, kama unataka nunua iyo J7, utafanya mchakato huo juu, na majibu yaje: Simu unayotumia ni Samsung J7
Yaani tcra watataja kabisa aina ya simu na model yake, au sijaelewa swali lako?
Thanx broMember
Huyo Amekupa Jibu Sahihi Muhimu Fuata Maelekezo
Shukrani kwako mkuuUkitaka kujua vizuri ni original na ni Samsung fuata imei na hii quick test
- #*7353# inafanya kazi kwenye Samsung og tu na sio fake so hii code ikikubali unajua ni og na pia una test camera, sauti, mwanga na vingine pia.
- *#0*# kwa main test ipi ni vizuri kutumia huku unanunia Samsung phone
Hapo ktk #*7353# pako sawa kiongozi?Ukitaka kujua vizuri ni original na ni Samsung fuata imei na hii quick test
- #*7353# inafanya kazi kwenye Samsung og tu na sio fake so hii code ikikubali unajua ni og na pia una test camera, sauti, mwanga na vingine pia.
- *#0*# kwa main test ipi ni vizuri kutumia huku unanunia Samsung phone
Sorry inanza na *#7353#Hapo ktk #*7353# pako sawa kiongozi?