Msaada wa sheria ya Code of Good Practice


Thanks for this
 
Asante mkuu, nilikuwa sijaiona hii. Vipi unaweza kushare na hiyo version ya kiingereza?
 
Huyu sio mwanataaluma Kutoka "the Faculty" atakuwa wa kandokando.

mkuu hiyi ''the facult'' inaexist every where,mfano faculty of social science and humanities.unazungumzia ipi? Ila ambayo lazima umsome mwita marianya vs mwita chacha,,au fishers vs bell?
 
Habari, naombeni English version ya code of good practice Gn 42,2007 please nakaribia kufanya mtihani sijaipata google
 

Mkuu tuwekee hiyo ya English version.
 
Tembelea Ofisi za Idara ya Kazi (Labour Office) ambazo ziko kila Mkoa hizo Nyalaka zote utazipata; na kwa upande wa ma-HR ni bora mkajenga tabia ya kuwa mnatembelea hizo Ofisi ili mpate kujifunza mambo mengine mengi ya ki-Adiministration. funguka :cool2:
 

To be human is to care for the needs of your fellow human beings. Would you be kind enough to share the English version for the same?
 
Habari mkuu! Naomba unisaidie hiyo sheria ya English version naihitaji sana mkuu nitashukuru sana ukinisaidia
 

Bwana Elisante,
Naomba kama unaweza kupata ya kiingereza unisaidie. Inmejaribu ku-serch/google hakuna! Please
 
Kuna sheria inayoitwa "Code of Good Practice"?

Anyway, what I meant is something of this nature related to employment and labour relations act, 2004 and the rules thereto: Employment and labour relations (Code of Good Practice) rules, GN 42/2007-several of them including related Labour Institutions act ???????????????
 

So, is it 'code of good practice on labor relations'?

If so, then it makes sense.

But 'code of good practice' alone is kinda incomplete....
 


mkuu naweza nikapta na hiyo version ya kiingereza mkuu
 
Please kama unaweza iattach tena maana sioni kitu hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…