Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za:
1. BAOBAB
2. MARIAN
3. HAMES
Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa mwaka please tujuzane.
Au ushauri wowote kuhusu shule za Form 1