Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,532
- 8,279
Huu wa mgeni ni rahisi kuupataMgeni mgeni huyu balaa,
Bila shaka ashazipata hizo nyimbo
Hizo hizo zishushe mkuuTieni tieni kwa moyo mmoja namba one heeee namba wani ni C-D-M.
Jogoo limeshawika Idodomiya.
Hapana sijazipata ndugu.Bila shaka ashazipata hizo nyimbo
Hii mbona haifunguki ndugu?Hii hapa
βΆοΈ |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||| 03:14
Simu yako mbovuHii mbona haifunguki ndugu?
Mi naupendaga ule unaimbwa 'Wacha waisome namba' sijuagi mwimbaji ni naniNdugu wana jamvi wakati ule wa miaka ya 1996 mpaka 2000, enzi zile tunasikiliza nyimbo zikiwa kwenye kanda, pale nyumbani mzee alikuwa na kanda moja ya tot ya mh Komba na wenzie, japo nilikuwa mdogo sana ila nilikuwa nakichwa cha kukariri baadhi ya nyimbo kama vile, muongo mbea anaua, na mwingine waliimba shime shime jaman, shime shime kuombaa tukazane kuombaa, na baadhi ya nyimbo zingine nmezisahau kutoka katika album ile nimezikumbuka sana na ninazitafta kwa muda mrefu bila mafanikio, mwenye kuzijua plz naomba msaada.