Msaada wa namna ya kuondoa kiwalaza

Habari wakuu

Mdogo wenu hapa nimekuja nahitaji msaada wenu, nimeanza kuota kiwalaza na hii inanipa stress sana ukizingatia na umri pia bado hauni ruhusu kumiliki vitu vya ajabu ajabu.

Najaribu kujiuliza kwanini kimeniota haraka haraka namna hii ukizingatia pia hatuna historia ya viwalaza kwenye familia yetu, mzee wangu yupo kwenye 60s na ana nywele zote timilifu.

Bro wangu mkubwa yupo early 30s na yeye hana kiwalaza, sasa najiuliza nimekipata wapi na ndio kwanza nimetimiza miaka 20 juzi hapo ??.

Yani upande wa mbele wa kichwa changu nywele zimeacha kuota pembeni mwa komwe ( receding hairline) na pia nyuma kidogo ya kichwa nywele zimeacha pia kuota.

Wakuu sikuwahi kujua kama hii kitu Ina stress namna hii, na ninavyopenda kunyoa viduku basi daah!

Dogo pole sana, hii ni kipara to kipara. Hakuna kitu kinachomtesa mtu kama denial. Jikubali kutoka ndani ya nafsi yako na maisha utayafurahia tena. Nakumbuka mara ya kwanza nimejigundua nina kipara moyo ulisononeka sana. Nilishindwa hata kula siku hiyo. Nilikuwa nawaza ntapataje watoto wazuri? Mbona naonekana mzee kabla ya umri wangu? Lakini baada ya kuizoea hiyo hali, maisha mbona fresh tu.
Hizi dawa utahangaika sana na pesa utaliwa, hair transplant ndo pekee inaweza kuwa angalau. Kumbuka side effects zipo kibao kuliko muonekano unaoutafuta.
JIKUBALI MDOGO WANGU
 
Shukrani sana mkuu
 
Dah naupara Ila Mara kwa Mara najaribu kupunguza nywele,Ila sio mbaya na ndefu na nimejaliwa nywele nyingi Sana kuanzia miguuni mpaka kifuani,Cha msingi jikubali Mambo yatakuwa furesh .
 
Habari wakuu

Mdogo wenu hapa nimekuja nahitaji msaada wenu, nimeanza kuota kiwalaza na hii inanipa stress sana ukizingatia na umri pia bado hauni ruhusu kumiliki vitu vya ajabu ajabu.

Najaribu kujiuliza kwanini kimeniota haraka haraka namna hii ukizingatia pia hatuna historia ya viwalaza kwenye familia yetu, mzee wangu yupo kwenye 60s na ana nywele zote timilifu.

Bro wangu mkubwa yupo early 30s na yeye hana kiwalaza, sasa najiuliza nimekipata wapi na ndio kwanza nimetimiza miaka 20 juzi hapo ??.

Yani upande wa mbele wa kichwa changu nywele zimeacha kuota pembeni mwa komwe ( receding hairline) na pia nyuma kidogo ya kichwa nywele zimeacha pia kuota.

Wakuu sikuwahi kujua kama hii kitu Ina stress namna hii, na ninavyopenda kunyoa viduku basi daah!
Kiwalaza ukichanganya na ile ishu nyingine sijui itakuwaje...

Mdogo wangu pia anacho amekubali matokeo, ni mwendo wa kipara tu!
 
Ungepata bahati ya kuniona na ikatokea siku umekutana na mzee wangu akiwa peke yake, hutohitaji hata kuuliza kama ni baba yangu, tumefanana hadi unyayo.

Mmefananaje wakati wewe unasola yeye hana, , muulize vizuri mama akuoneshe mzee wako , mtoto huwa ni wa mama sio Baba
 
Ninaposema tumefanana amini hivyo, kipara sio hoja huenda nimekipata upande wa mama.
 
Back
Top Bottom