Msaada wa namna ya kuondoa kiwalaza

Mkuu jikubali tu uanze kunyoa upaa " mi pia nilianza kuota upaa nikiwa 22 years nikawa naona noma kuachia kichwa, nikawa mzee wa kapelo , nmevaa kofia mda mrefu ndio nikawa nmeuzidisha mara 2 yake ,, lait ningejua ningeuachia tu watu wakazoea, lakin ndo ishakuwa ivo tena siwezi kutoka bila kofia...
IMG_20211211_115037_192~2.jpg
 
Mkuu jikubali tu uanze kunyoa upaa " mi pia nilianza kuota upaa nikiwa 22 years nikawa naona noma kuachia kichwa, nikawa mzee wa kapelo , nmevaa kofia mda mrefu ndio nikawa nmeuzidisha mara 2 yake ,, lait ningejua ningeuachia tu watu wakazoea, lakin ndo ishakuwa ivo tena siwezi kutoka bila kofia... View attachment 2069483
Mkuu tatizo umeanza mapema sana, Yani umri huu kuwa na upara ni noma sana.
 
Kwanini usiikubali hali yako mkuu, nahisi utakua huru zaidi kuliko kuhangaika na madawa hayo ambayo nayo sidhan kama una uhakika nayo 100%.

Binafsi sina upara katikat ya nywele ila nywele zangu zimesogea sana na kuanza mbali na komwe, ila niko fresh tu sioni jau.
 
Nayapataje hayo mafuta ya mnyonyo na yanaandaliwa vipi namna ya kuyatumia.
Mpigie huyu jamaa anauza hayo mafuta
Sina upara ila nilikua nayatumia kujaza nywele lakin hayakusaidia, pia harufu yake sio nzuri sana.
0714949805
0746400215
Jaribu labda yatakusaidia na kwa umri wako ulivyo mdogo stress haziepukiki
 
Back
Top Bottom